Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
| Kategoria | Afua > Maendeleo ya Vijana |
| Outcome Areas | Ustawi, Shirika la Vijana |
| Needs Categories | Maono ya Mabadiliko na Mchango |
| Target Groups | Miaka 12-14, Miaka 15-18, Miaka 19+ |
Afua ya Bunge la Vijana iliundwa na Compassion International kwa kuona mahitaji ya Ofisi ya Nchi na Kanisa Mshirika Mwenza ya kuhamasisha ushiriki wa vijana. Miongozo inajumuisha moduli ya mafunzo kutoka USAID: Mwongozo wa Stadi za Maisha na Uongozi.1
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.