Mifuatano - 1 Rasilimali
Lengo kuu la mtaala huu ni kuwaonyesha wanafunzi kuwa wanapolala salama kwenye vyandarua vyao, wanafanya ndoto na malengo yao kuwa salama pia. Mtaala…
Mifuatano - 1 Rasilimali
Kitabu cha mwongozo wa utoaji wa elimu ya afya ya kinywa na meno kwa walimu wa shule msingi kinalenga kumsaidia mwalimu wa somo la sayansi, afya na m…
Mifuatano - 5 Rasilimali
Afua ya Bunge la Vijana iliundwa na Compassion International kwa kuona mahitaji ya Ofisi ya Nchi na Kanisa Mshirika Mwenza ya kuhamasisha ushiriki wa…
Mifuatano - 7 Rasilimali
Hii ni nyenzo ambayo itatumiwa na Ofisi ya Nchi na Kanisa Mshirika Mwenza katika kupanga, kubuni, na kutekeleza afua ya kugawa chakula wakati wa maaf…
Mifuatano - 5 Rasilimali
Mifuatano - 5 Rasilimali
Mafunzo haya ni utangulizi wa jinsi kiwewe kinavyoathiri watoto na vijana na kile ambacho sisi kama jamii tunaweza kusaidia. Mafunzo yanajumuisha maw…
Mifuatano - 6 Rasilimali
Afua hii inakusudiwa kuongeza ufahamu, kukuza uelewaji, na kukuza huruma na ujuzi wa vitendo kwa kukabiliana na kujiua ili kuzuiliwe. Washirika wa Ka…
Mifuatano - 6 Rasilimali
Afua hii inahusiasha Mtaala wa Unawaji Mikono dhidi ya vimelea Vinavyosababisha Maradhi kwa washiriki wa program kituoni (Germ’s Journey).…
Dhumuni la muundo huu (logframe) ni kuonyesha mtiririko wa kimuundo wa Afua ya Mafunzo ya Stadi za Maisha Kwa Vijana
Lengo la rasimali hii ni kuonyesha Mtiririko wa Kimantiki wa Afua ya Mafunzo ya Stadi za Maisha Kwa Vijana
Madhumuni ya mwongozo huu ni kutoa muhutasari wa Afua ya Mafunzo ya Stadi za Maisha kwa Vijana kwa Ofisi ya nchi