Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
| Kategoria | Afua > Afya |
| Outcome Areas | Ustawi |
| Needs Categories | Afya ya jumla |
| Target Groups | Miaka 1-3, Miaka 3-5, Miaka 6-8, Miaka 9-11 |
Kitabu cha mwongozo wa utoaji wa elimu ya afya ya kinywa na meno kwa walimu wa shule msingi kinalenga kumsaidia mwalimu wa somo la sayansi, afya na mazingira kwa shule za msingi kufahamu katika lugha rahisi juu ya mada muhimu za afya ya kinywa na meno.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.