Mifuatano - 1 Rasilimali
Lengo kuu la mtaala huu ni kuwaonyesha wanafunzi kuwa wanapolala salama kwenye vyandarua vyao, wanafanya ndoto na malengo yao kuwa salama pia. Mtaala…
Mifuatano - 1 Rasilimali
Kitabu cha mwongozo wa utoaji wa elimu ya afya ya kinywa na meno kwa walimu wa shule msingi kinalenga kumsaidia mwalimu wa somo la sayansi, afya na m…
Mifuatano - 7 Rasilimali
Hii ni nyenzo ambayo itatumiwa na Ofisi ya Nchi na Kanisa Mshirika Mwenza katika kupanga, kubuni, na kutekeleza afua ya kugawa chakula wakati wa maaf…
Video inalenga kuwaonyesha watoto namna ya kuwa mashujaa wa kunawa mikono na kuagana kabisa na vijidudu.
Video hii pia inahamasisha watoto kunawa mikono kupitia nyimbo.
Video hii ina nyimbo za kuhamasisha unawaji mikono kwa watoto.
Video hii inaonyesha namna ya kunawa mikono kwa kutumia bomba la miguu.
Video hii pia inaonyesha namna nyingine ya kutengeneza bomba la miguu la kunawia.
Video hii inaonyesha jinisi ya kutengeneza bomba la miguu la kunawia
Video hii inalenga kuwafundisha watoto namna ya kutengeneza bomba la kunawia katika mazingira ya nyumbani.
Lengo la video hii ni kuonyesha umuhimu wa kutumia sabuni wakati wa kunawa.
Lengo la video hii ni kuonyesha namna ya kunawa kwa usahihi.
Video hii inaonyesha namna ya kutumia sabuni ya maji/glow jell katika unawaji sahihi wa mikono.
Video hii inalenga kuwafundisha watoto aina mbalimbali ya vijidudu kama sehemu ya kujifunza namna ya kuvikabili katika afua hii.
Hii ni video inayoonyesha unawaji mikono sahihi.