Mifuatano - 8 Rasilimali
Mpango wa Anzisha Biashara Yako(SYB) ni programu ya mafunzo yenye lengo kuu na mwelekeo wa kuanzisha na kuboresha biashara ndogo ndogo kama mkakati w…
Mtaala huu umetayarishwa kwa ajili ya watoto wa kati ya miaka 3-5. Unahusisha masomo arobaini na sita, yatakayosaidia kumjenga mtoto kiroho. Masomo y…
Mifuatano - 1 Rasilimali
Kitabu cha mwongozo wa utoaji wa elimu ya afya ya kinywa na meno kwa walimu wa shule msingi kinalenga kumsaidia mwalimu wa somo la sayansi, afya na m…
Mifuatano - 5 Rasilimali
Mifuatano - 6 Rasilimali
Hii ni Afua inayotumia mbinu ya Vikundi vya Mafunzo ya Biblia.
Mifuatano - 5 Rasilimali
Afua ya Bunge la Vijana iliundwa na Compassion International kwa kuona mahitaji ya Ofisi ya Nchi na Kanisa Mshirika Mwenza ya kuhamasisha ushiriki wa…
Mifuatano - 6 Rasilimali
Afua hii inakusudiwa kuongeza ufahamu, kukuza uelewaji, na kukuza huruma na ujuzi wa vitendo kwa kukabiliana na kujiua ili kuzuiliwe. Washirika wa Ka…
Mifuatano - 5 Rasilimali
Mafunzo haya ni utangulizi wa jinsi kiwewe kinavyoathiri watoto na vijana na kile ambacho sisi kama jamii tunaweza kusaidia. Mafunzo yanajumuisha maw…
Mifuatano - 1 Rasilimali
Lengo kuu la mtaala huu ni kuwaonyesha wanafunzi kuwa wanapolala salama kwenye vyandarua vyao, wanafanya ndoto na malengo yao kuwa salama pia. Mtaala…
Mifuatano - 5 Rasilimali
Afua ya Stadi za Maisha na Uongozi inalenga katika kuwaandaa vijana washiriki. Afua hii inatumia Mwongozo wa Stadi za Maisha na Uongozi, ambao unalen…
Mifuatano - 7 Rasilimali
Ushauri Malezi kwa Vijana (Youth Mentorship) ni mbinu iliyothibitishwa kwa muda mrefu inayoweza kuwasaidia vijana, bila kujali mazingira yao, kufikia…
Mifuatano - 5 Rasilimali
Haya ni Mafunzo ya Vikundi vya Kuweka Akiba kwa Watoto (Little Sowers)
Mifuatano - 5 Rasilimali
Programu ya Vijana ya Alpha husaidia kuunda nafasi salama ambapo vijana wanaweza kushiriki katika mazungumzo ya kweli kuhusu maisha na imani, kuwawez…
Mifuatano - 6 Rasilimali
Afua hii inahusiasha Mtaala wa Unawaji Mikono dhidi ya vimelea Vinavyosababisha Maradhi kwa washiriki wa program kituoni (Germ’s Journey).…
Mifuatano - 11 Rasilimali
Lengo kuu ni kuwapa vijana zana wanazohitaji ili kuwa na ujasiri karika mahesabu.
Mifuatano - 7 Rasilimali
Hii ni nyenzo ambayo itatumiwa na Ofisi ya Nchi na Kanisa Mshirika Mwenza katika kupanga, kubuni, na kutekeleza afua ya kugawa chakula wakati wa maaf…
Mifuatano - 1 Rasilimali
Hii ni afua ya Qavah-Ulinzi wa Chakula kwa Kaya. Lengo la kitini hiki ni kuwapatia kaya maarifa ya msingi kuhusu sababu za ukosefu wa usalama …
Mifuatano - 6 Rasilimali
Afua ya Reach4Life (Fikia Maisha) ni mpango wa kina wa uanafunzi wa Kikristo wa Biblica kwa vijana, wenye msisitizo maalum juu ya utambulisho, ngono …
Mifuatano - 8 Rasilimali
Afua ya Ufuasi kupitia Mafunzo ya Ushauri kwa Vijana imeundwa ili kuwapatia washauri wa vijana mafunzo maalumu yatakayowawezesha kuwalea na kuwaongoz…
Mifuatano - 2 Rasilimali
Afua ya Uongozi wa Vijana wa Yethro unalenga kuwashirikisha vijana katika mazingira ya uongozi wa vitendo (kwa uzoefu) ili wajifunze uongozi kwa vite…
Mtaala huu ni kwa ajili ya watoto wa miaka 3-5. Unahusisha masomo arobaini na mbili, yatakayosaidia kumjenga mtoto kiakili. Masomo yatahus…
Mtaala huu umetayarishwa kwa ajili ya watoto wa kati ya miaka 3-5. Kinahusisha masomo arobaini na sita, yatakayosaidia kumjenga mtoto kimwili. Masomo…