Mifuatano - 5 Rasilimali
Afua ya Stadi za Maisha na Uongozi inalenga katika kuwaandaa vijana washiriki. Afua hii inatumia Mwongozo wa Stadi za Maisha na Uongozi, ambao unalen…
Mifuatano - 4 Rasilimali
Huu ni mfuatano wa masomo ya uongozi kwa vijana. Lengo ni kuwajenda vijana katika ujuzi wa kuongoza ili waweze kuwa na ujasiri wa kushika nafasi za u…
Mifuatano - 5 Rasilimali
Huu ni mfuatano wa mitaala ya shughuli za uzalishaji kipato kwa umri wa miaka 12-19+ ambazo zinaweza kuchaguliwa kufundisha kulingana na mazingira. L…
Mifuatano - 2 Rasilimali
Hii ni mitaala ya kufundishia vijana wa miaka 15-18. Ndani ya mitaala hii kuna moduli mbalimbali zinazomwesha kijana kukua katika maeneo mbalimbali k…
Mifuatano - 5 Rasilimali
Programu ya Vijana ya Alpha husaidia kuunda nafasi salama ambapo vijana wanaweza kushiriki katika mazungumzo ya kweli kuhusu maisha na imani, kuwawez…
Mifuatano - 5 Rasilimali
Mafunzo haya ni utangulizi wa jinsi kiwewe kinavyoathiri watoto na vijana na kile ambacho sisi kama jamii tunaweza kusaidia. Mafunzo yanajumuisha maw…
Madhumuni ya mwongozo huu ni kuandaa Ofisi za Kitaifa na Kanisa Washirika Wenza(FCPs) ili kufuatilia na kutathmini ufanisi wa afua hii katika muktadh…
Madhumuni ya mwongozo huu ni kuipa Ofisi ya Nchi maelezo ya jumla ya afua
Madhumuni ya mwongozo huu ni kuzipa Ofisi za Nchi Mapitio ya Mbinu za Vikundi vya Mafunzo ya Biblia.
Mwongozo huu unatumiwa na mwezeshaji katika utekelezaji wa afua ya Kuzuia kujiua kwa watoto na vijana.
Nyaraka hii ni kwa ajili ya Usimamizi na Tathmini katika afua ya Kuzuia kujiua.