Matokeo 13
Panga kwa
Mafunzo ya Stadi za Maisha kwa Vijana

Mafunzo ya Stadi za Maisha kwa Vijana

Mifuatano - 5 Rasilimali
Afua ya Stadi za Maisha na Uongozi inalenga katika kuwaandaa vijana washiriki. Afua hii inatumia Mwongozo wa Stadi za Maisha na Uongozi, ambao unalen…
Mitaala ya uongozi na shughuli za huduma

Mitaala ya uongozi na shughuli za huduma

Mifuatano - 4 Rasilimali
Huu ni mfuatano wa masomo ya uongozi kwa vijana. Lengo ni kuwajenda vijana katika ujuzi wa kuongoza ili waweze kuwa na ujasiri wa kushika nafasi za u…
Mitaala ya shughuli za uzalishaji kipato

Mitaala ya shughuli za uzalishaji kipato

Mifuatano - 5 Rasilimali
Huu ni mfuatano wa mitaala ya shughuli za uzalishaji kipato kwa umri wa miaka 12-19+ ambazo zinaweza kuchaguliwa kufundisha kulingana na mazingira. L…
Mtaala wa Kiroho kwa Vijana wa Miaka 12-19+

Mtaala wa Kiroho kwa Vijana wa Miaka 12-19+

Mifuatano - 1 Rasilimali
Hii ni mitaala ya kufundishia vijana wa miaka 12-19+ masuala ya Kiroho. Ndani ya mitaala hii kuna masomo mbalimbali yanayohusu ukuaji wa Ki…
Mtaala wa Vijana miaka 19+

Mtaala wa Vijana miaka 19+

Mifuatano - 2 Rasilimali
Hii ni mitaala ya kufundishia vijana wa miaka 19+ Ndani ya mitaala hii kuna moduli mbalimbali zinazomwesha kijana kukua katika maeneo mbalimbali kwa …
Mfululizo wa Kozi za Vijana za Alpha

Mfululizo wa Kozi za Vijana za Alpha

Mifuatano - 5 Rasilimali
Programu ya Vijana ya Alpha husaidia kuunda nafasi salama ambapo vijana wanaweza kushiriki katika mazungumzo ya kweli kuhusu maisha na imani, kuwawez…
Afua ya mafunzo juu ya Kiwewe

Afua ya mafunzo juu ya Kiwewe

Mifuatano - 5 Rasilimali
Mafunzo haya ni utangulizi wa jinsi kiwewe kinavyoathiri watoto na vijana na kile ambacho sisi kama jamii tunaweza kusaidia. Mafunzo yanajumuisha maw…
Kifurushi cha Tathmini na Ufuatiliaji (Awana M&E)

Kifurushi cha Tathmini na Ufuatiliaji (Awana M&E)

Madhumuni ya mwongozo huu ni kuandaa Ofisi za Kitaifa na Kanisa Washirika Wenza(FCPs) ili kufuatilia na kutathmini ufanisi wa afua hii katika muktadh…
Muhtasari wa Afua kwa Ofisi ya Nchi

Muhtasari wa Afua kwa Ofisi ya Nchi

Madhumuni ya mwongozo huu ni kuipa Ofisi ya Nchi maelezo ya jumla ya afua
Mwongozo wa Mkakati wa Awana

Mwongozo wa Mkakati wa Awana

Madhumuni ya mwongozo huu ni kuzipa  Ofisi za Nchi Mapitio ya Mbinu za Vikundi vya Mafunzo ya Biblia.
Mwongozo wa Mwezeshaji

Mwongozo wa Mwezeshaji

Mwongozo huu unatumiwa na mwezeshaji katika utekelezaji wa afua ya Kuzuia kujiua kwa watoto na vijana.