Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
| Kategoria | Afua > Maishilio |
| Outcome Areas | Kujitosheleza |
| Needs Categories | Lishe na Usalama wa Chakula, NEET, TVET, & Uzazi wa Mapato |
| Target Groups | 0-1 mwaka, Miaka 1-3, Miaka 3-5, Miaka 6-8, Miaka 9-11, Miaka 12-14, Miaka 15-18, Miaka 19+, Watunzaji |
Afua hii inahusu bustani ya Kudumu ambayo ni mbinu ya uzalishaji wa chakula katika ngazi ya kaya au kiwanja cha makazi, inayolenga kujenga uthabiti wa kimazingira kupitia uboreshaji wa uhifadhi wa maji na rutuba ya udongo ili kuzalisha chakula mwaka mzima kwa ajili ya lishe na kipato.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.