Mifuatano - 5 Rasilimali
Haya ni Mafunzo ya Vikundi vya Kuweka Akiba kwa Watoto (Little Sowers)
Mifuatano - 5 Rasilimali
Afua ya Stadi za Maisha na Uongozi inalenga katika kuwaandaa vijana washiriki. Afua hii inatumia Mwongozo wa Stadi za Maisha na Uongozi, ambao unalen…
Mifuatano - 5 Rasilimali
Hii ni Afua inayotumia mbinu ya Vikundi vya Mafunzo ya Biblia.
Mifuatano - 4 Rasilimali
Huu ni mfuatano wa masomo ya uongozi kwa vijana. Lengo ni kuwajenda vijana katika ujuzi wa kuongoza ili waweze kuwa na ujasiri wa kushika nafasi za u…
Mifuatano - 5 Rasilimali
Huu ni mfuatano wa mitaala ya shughuli za uzalishaji kipato kwa umri wa miaka 12-19+ ambazo zinaweza kuchaguliwa kufundisha kulingana na mazingira. L…
Mifuatano - 2 Rasilimali
Hii ni mitaala ya kufundishia vijana wa umri wa miaka 12-14.
Mifuatano - 5 Rasilimali
Mifuatano - 5 Rasilimali
Programu ya Vijana ya Alpha husaidia kuunda nafasi salama ambapo vijana wanaweza kushiriki katika mazungumzo ya kweli kuhusu maisha na imani, kuwawez…
Mifuatano - 5 Rasilimali
Mafunzo haya ni utangulizi wa jinsi kiwewe kinavyoathiri watoto na vijana na kile ambacho sisi kama jamii tunaweza kusaidia. Mafunzo yanajumuisha maw…
Mwongozo huu unatumiwa na mwezeshaji katika utekelezaji wa afua ya Kuzuia kujiua kwa watoto na vijana.
Madhumuni ya mwongozo huu ni kuzipatia Ofisi za Nchi Muhtasari wa Afua.
Nyaraka hii ni kwa ajili ya Usimamizi na Tathmini katika afua ya Kuzuia kujiua.