Dhumuni la muundo huu (logframe) ni kuonyesha mtiririko wa kimuundo wa Afua ya Mafunzo ya Stadi za Maisha Kwa Vijana
Lengo la rasimali hii ni kuonyesha Mtiririko wa Kimantiki wa Afua ya Mafunzo ya Stadi za Maisha Kwa Vijana
Madhumuni ya mwongozo huu ni kutoa muhutasari wa Afua ya Mafunzo ya Stadi za Maisha kwa Vijana kwa Ofisi ya nchi
Huu ni mwongozo wa Ufuatiliaji na Tathmini (M&E) kwa Mafunzo ya Stadi za Maisha ya Vijana. Mafunzo ya Stadi za Maisha ya Vijana ni mfululizo wa v…
Dhumuni la mwongozo huu ni kutoa mwongozo kwa wawezeshaji wakati wakufundisha afua hii ya Mafunzo ya ujuzi stadi kwa vijana.