Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
| Kategoria | Afua > Afya |
| Copyright Owner and Year | Compassion International Tanzania, 2025 |
| Outcome Areas | Ustawi |
| Needs Categories | Afya ya jumla |
| Target Groups | Miaka 1-3, Miaka 3-5, Miaka 6-8, Miaka 9-11, Miaka 12-14, Miaka 15-18, Miaka 19+, Watunzaji |
Lengo kuu la mtaala huu ni kuwaonyesha wanafunzi kuwa wanapolala salama kwenye vyandarua vyao, wanafanya ndoto na malengo yao kuwa salama pia. Mtaala huu umetayarishwa kuhusianisha masomo, shughuli/mazoezi na michezo ya kuwashirikisha wanafunzi kuhusu kinga dhidi ya malaria - kwa matarajio kwamba watafikisha mafunzo yao kwa marafiki, familia na majirani.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.