Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA |
Copyright Owner | Compassion International |
Target Groups | Miaka 12-14, Miaka 15-18, Miaka 19+ |
Afua ya Stadi za Maisha na Uongozi inalenga katika kuwaandaa vijana washiriki. Afua hii inatumia Mwongozo wa Stadi za Maisha na Uongozi, ambao unalenga kuwapa vijana ujuzi muhimu kwa maendeleo yao binafsi na uongozi bora
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.