Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA > Afua mbalimbali |
Copyright Owner | Compassion International |
Outcome Areas | Kujitosheleza |
Needs Categories | Maono ya Mabadiliko na Mchango, NEET, TVET, & Uzazi wa Mapato |
Target Groups | Miaka 12-14, Miaka 15-18, Miaka 19+ |
Huu ni mwongozo wa Ufuatiliaji na Tathmini (M&E) kwa Mafunzo ya Stadi za Maisha ya Vijana. Mafunzo ya Stadi za Maisha ya Vijana ni mfululizo wa vitengo vinne, vya mwaka mzima kwa vijana wenye umri wa miaka 12 na zaidi.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.