Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
| Category | Intervention Categories > Livelihoods |
| Copyright Owner and Year | Compassion International, 2025 |
| Outcome Areas | Self-sufficiency |
| Needs Categories | NEET, TVET, & Income Generation |
| Target Groups | 12-14 years, 15-18 years, 19+ years, Caregivers, FCP Staff |
Hii ni afua ya Qavah-Ulinzi wa Chakula kwa Kaya. Lengo la kitini hiki ni kuwapatia kaya maarifa ya msingi kuhusu sababu za ukosefu wa usalama wa chakula na dalili zake. Tutaangazia pia hatua kadhaa za gharama ndogo na rahisi ambazo kaya zinaweza kuchukua kuhakikisha Upatikanaji wa Chakula mwingi na endelevu. Mkazo maalumu umewekwa katika kushughulikia utapiamlo na umuhimu wa kutathmini utapiamlo kwa watoto ili kuchukua hatua stahiki.
ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.