Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
| Kategoria | Afua > Maishilio |
| Outcome Areas | Kujitosheleza |
| Needs Categories | Lishe na Usalama wa Chakula |
| Target Groups | Miaka 12-14, Miaka 15-18, Miaka 19+, Watunzaji, Wafanyakazi wa FCP |
Lengo la kitini hiki ni kuwapatia kaya maarifa ya msingi kuhusu sababu za ukosefu wa usalama wa chakula na dalili zake. Tutaangazia pia hatua kadhaa za gharama ndogo na rahisi ambazo kaya zinaweza kuchukua kuhakikisha Upatikanaji wa Chakula mwingi na endelevu.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.