Main Logo
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
    • Lugha
  • Majadiliano
  • Kozi
  • Maktaba

Teua Lugha Unayopenda

  • English
  • Kiswahili
  • Mwanzo
  • Maktaba
  • Kozi
  • Majadiliano
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
Search
  • < ukurasa wa awali
  • 1
  • 2
  • ukurasa unaofuata >
  • Unganisha >
  • Jukwaa >
  • nini maana ya ulinzi wa mtoto >
  • Unyanyasaji ni nini?
AF

Unyanyasaji ni nini?

Abednego F. limechapishwa 1 year, 7 months ago
Naomba mtu mwenye tafsiri sahihi ya unyanyasaji
kiungo
MQ
Martin Q. limejibiwa 1 year, 3 months ago
kumtenda mtu kinyume na anavyostahili
kiungo
HJ
Hakika J. limejibiwa 1 year, 6 months ago
Ni kumtendea mtu mwingine matendo yanayomsababishia maumivu kimwili au kihisia.
kiungo
LN
Lucas N. limejibiwa 1 year, 6 months ago
Ni vitendo na mitazamo yote ya udhalilishaji na uporaji wa haki na utu wa mtu
kiungo
BA
Batimayo A. limejibiwa 1 year, 6 months ago
Ni ukatili wa aina yote na kuondoa haki ya mtu
kiungo
  • < ukurasa wa awali
  • 1
  • 2
  • ukurasa unaofuata >
Jiandikishe au ingia katika akaunti kuunda ili kuchapisha jibu.
  • About
  • Privacy Policy
  • Contact Us
  • Terms of Use

Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.