Unyanyasaji ni nini?
Abednego F.
limechapishwa
1 year, 7 months ago
Naomba mtu mwenye tafsiri sahihi ya unyanyasaji
Eligibo S.
limejibiwa
1 week, 4 days ago
unyanyasaji ni kitendo cha kumuumiza, kumdhalilisha au kumtendea mtu vibaya kwa kutumia nguvu , maneno, mamlaka au vitendo vinavyo mletea maumivu ya mwili au akili
Frida L.
limejibiwa
3 weeks ago
Ni ile hali ya kumfanyia mtoto vitendo vya kumkosesha amani na furaha katika maisha yake mfano kipigo kupitiliza,ubakaji,ulawiti,kumpa kazi isiyolingana na umri wake nk
Edger G.
limejibiwa
1 month, 1 week ago
Ni jumla ya mambo yote ambayo kama ukimfanyia mtoto yanatweza utu na ubinadamu wa mtoto.
John N.
limejibiwa
2 months ago
Ni hali ya kumfanyia vitendo vinavyoweza kudhuru afya yake kama Kimwili,Kiakili,Kihisia na kijamii
John N.
limejibiwa
2 months ago
Ni hali ya kumfanyia vitendo vinavyoweza kumuathili mtoto kimwili,kihisia na kiakili
Pauline K.
limejibiwa
2 months, 1 week ago
Ni haki na ni jukumu la kila mtu kumlinda na kumtunza mtoto na kijana.
Joseph F.
limejibiwa
2 months, 4 weeks ago
Ni hari ya kumnyima mtoto haki ya uhuru wa kuishi au kujiongoza kutokana na jinsia yake.
JOHN A.
limejibiwa
3 months ago
Ulinzi wa mtoto ni kumlinda mtoto dhidi ya unyanyasaji wake katika nyanja mbali mbali kama vile unyanyasaji wa kimwili, kingono, kiimani,.kiutamaduni na mengineyo
Gabriel C.
limejibiwa
11 months, 4 weeks ago
Ni vitendo vyooote vinavyofanywa ili kuminya haki ya Mtoto, mf. Kumnyima: chakula, elimu, haki ya kujieleza, kumpiga, haki ya kucheza, n.k
Oscar E.
limejibiwa
1 year ago
Ni vitengo vinavyofanywa kwa mtoto na kuwa na matokeo hasi ya makuzi ya kimwili , kiakili, kisaikolojia na kijamii.