Main Logo
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
    • Lugha
  • Majadiliano
  • Kozi
  • Maktaba

Teua Lugha Unayopenda

  • English
  • Kiswahili
  • Mwanzo
  • Maktaba
  • Kozi
  • Majadiliano
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
Search
  • < ukurasa wa awali
  • 1
  • 2
  • ukurasa unaofuata >
  • Unganisha >
  • Jukwaa >
  • nini maana ya ulinzi wa mtoto >
  • Unyanyasaji ni nini?
AF

Unyanyasaji ni nini?

Abednego F. limechapishwa 1 year, 7 months ago
Naomba mtu mwenye tafsiri sahihi ya unyanyasaji
kiungo
FL
Frida L. limejibiwa Masaa 15 yaliyopita
Ni ile hali ya kumfanyia mtoto vitendo vya kumkosesha amani na furaha katika maisha yake mfano kipigo kupitiliza,ubakaji,ulawiti,kumpa kazi isiyolingana na umri wake nk
kiungo
Edger G. avatar
Edger G. limejibiwa 2 weeks, 6 days ago
Ni jumla ya mambo yote ambayo kama ukimfanyia mtoto yanatweza utu na ubinadamu wa mtoto.
kiungo - 1 amependezwa
JN
John N. limejibiwa 1 month, 2 weeks ago
Ni hali ya kumfanyia vitendo vinavyoweza kudhuru afya yake kama Kimwili,Kiakili,Kihisia na kijamii
kiungo
JN
John N. limejibiwa 1 month, 2 weeks ago
Ni hali ya kumfanyia vitendo vinavyoweza kumuathili mtoto kimwili,kihisia na kiakili
kiungo
PK
Pauline K. limejibiwa 1 month, 3 weeks ago
Ni haki na ni jukumu la kila mtu kumlinda na kumtunza mtoto na kijana.
kiungo
Joseph F. avatar
Joseph F. limejibiwa 2 months, 1 week ago
Ni hari ya kumnyima mtoto haki ya uhuru wa kuishi au kujiongoza kutokana na jinsia yake.
kiungo
JOHN A. avatar
JOHN A. limejibiwa 2 months, 1 week ago
Ulinzi wa mtoto ni kumlinda mtoto dhidi ya unyanyasaji wake katika nyanja mbali mbali kama vile unyanyasaji wa kimwili, kingono, kiimani,.kiutamaduni na mengineyo
kiungo - 1 amependezwa
Gabriel C. avatar
Gabriel C. limejibiwa 11 months, 1 week ago
Ni vitendo vyooote vinavyofanywa ili kuminya haki ya Mtoto, mf. Kumnyima: chakula, elimu, haki ya kujieleza, kumpiga, haki ya kucheza, n.k
kiungo - 1 amependezwa
OE
Oscar E. limejibiwa 11 months, 2 weeks ago
Ni vitengo vinavyofanywa kwa mtoto na kuwa na matokeo hasi ya makuzi ya kimwili , kiakili, kisaikolojia na kijamii.
kiungo
Maximillian M. avatar
Maximillian M. limejibiwa 1 year, 1 month ago
Ni jumla ya matendo yote yanayoweza kumuathiri Mtoto Kimwili, Kiakili, Kihisia na Kijamii. Mfano Kumpiga, Kumnyima chakula, Kumchoma moto mikono n.k
kiungo - 1 amependezwa
  • < ukurasa wa awali
  • 1
  • 2
  • ukurasa unaofuata >
Jiandikishe au ingia katika akaunti kuunda ili kuchapisha jibu.
  • About
  • Privacy Policy
  • Contact Us
  • Terms of Use

Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.