Unyanyasaji ni nini?
Abednego F.
posted
3 months, 2 weeks ago
Naomba mtu mwenye tafsiri sahihi ya unyanyasaji
Hakika J.
replied
2 months, 4 weeks ago
Ni kumtendea mtu mwingine matendo yanayomsababishia maumivu kimwili au kihisia.
Lucas N.
replied
3 months ago
Ni vitendo na mitazamo yote ya udhalilishaji na uporaji wa haki na utu wa mtu
Batimayo A.
replied
3 months ago
Ni ukatili wa aina yote na kuondoa haki ya mtu