Main Logo
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
  • Jukwaa la majadiliano
  • Jifunze
  • Maktaba

Teua Lugha Unayopenda

  • English
  • Kiswahili
  • Mwanzo
  • Maktaba
  • Jifunze
  • Jukwaa la majadiliano
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge

Miongozo ya Afua

Kategoria za Afua/Afua zilizomo:  Ustahimilivu wa Maafa    Afya    Maishilio    Ulinzi    Kiroho    Maendeleo ya Vijana    Uwakili  wa Mazingira    Jinsia, Usawa na Ushirikishwaji wa Jamii

Miongozo ya Afua ni mpangilio wa hali ya juu wa afua zenye ushahidi wa kitaalamu ambazo zikitekelezwa vizuri zitasaidia kupatikana kwa  matokeo ya mtoto na kijana. Afua zinahusisha rasilimali kadhaa kati ya zifuatazo;

Muhtasari wa Afua wa Ofisi ya Nchi: Maelezo ya jumla ya Afua  kwa Ofisi za nchi.

Muhtasari wa Afua kwa  Kanisa Mshirikamwenzae: Maelezo ya jumla ya Afua kwa Kanisa mshirikimwenza

Mwongozo wa matumizi: Muhtasari wa kisekta unaoohusiana na afua fulani au seti ya afua kadhaa.

Mwongozo wa Mwezeshaji / Mwalimu: Mwongozo kwa wawezeshaji ambao wanatekeleza afua

Mwongozo wa Wanafunzi: Vifaa kwa ajili ya wanafunzi ambao wanashiriki katika afua husika

Mwongozo wa Mafunzo ya Mwezeshaji: Taarifa  muhimu ya kuwaandaa wawezeshaji wa afua.

Vifaa vya ziada: Vifaa vya ziada vya kusaidia wawezeshaji  wanapotekeleza afua

Kifurushi cha Ufuatiliaji na Tathmini: Mwongozo wa kina juu ya shughuli maalum za ufuatiliaji na tathmini kwa afua

Mfano wa Ufuatiliaji na mtiririko wa  Mantiki: Nyenzo maalum, shughuli, na matokeo ya afua husika.

Muundo wa kimantiki wa Ufuatiliaji na Tathmini : Maelezo kuhusu viashiria maalum ambavyo vinapaswa kufuatiliwa na kutathminiwa katika afua.

Ustahimilivu wa Maafa Ustahimilivu wa Maafa


Afya Afya


Maishilio Maishilio


  • Mtaala wa Umahiri wa Kufanya  hesabu kwa Kujiamini

    Mtaala wa Umahiri wa Kufanya hesabu kwa Kujiamini

    Mifuatano - 24 Rasilimali
    Lengo kuu ni kuwapa vijana zana wanazohitaji ili kuwa na ujasiri karika mahesabu.
  • Mafunzo ya Vikundi vya Kuweka Akiba kwa Watoto (Little Sowers)

    Mafunzo ya Vikundi vya Kuweka Akiba kwa Watoto (Little Sowers)

    Mifuatano - 5 Rasilimali
    Haya ni Mafunzo ya Vikundi vya Kuweka Akiba kwa Watoto (Little Sowers)

Ulinzi Ulinzi


Kiroho Kiroho


Maendeleo ya Vijana Maendeleo ya Vijana


  • Mafunzo ya Stadi za Maisha kwa Vijana

    Mafunzo ya Stadi za Maisha kwa Vijana

    Mifuatano - 5 Rasilimali
    Afua ya Stadi za Maisha na Uongozi inalenga katika kuwaandaa vijana washiriki. Afua hii inatumia Mwongozo wa Stadi za Maisha na Uongozi, ambao unalen…

Uwakili wa Mazingira Uwakili wa Mazingira


Jinsia, Usawa na Ushirikishwaji wa Jamii Jinsia, Usawa na Ushirikishwaji wa Jamii


Ilani ya Hakimiliki: © 2024 Compassion International, Iliyojumuishwa.

Kanusho: Vifaa vinavyoonyeshwa kwenye wavuti hii vinalindwa na sheria ya hakimiliki ya Merika. Haki zote zimehifadhiwa na Compassion International, Inc. Vifaa ni vya siri na vinapaswa kutumiwa tu kwa matumizi ya mpokeaji na haziwezi kuzalishwa, kusambazwa, kupitishwa, kuonyeshwa, kuchapishwa, au kutangazwa bila idhini ya maandishi ya Compassion International, Inc. Ikiwa wewe sio mpokeaji aliyekusudiwa, huwezi kufichua au kutumia vifaa

Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.

  • Kutuhusu​
  • Wasiliana Nasi
  • Masharti ya Matumizi
  • Faragha