Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA > Afua mbalimbali > Afya |
Copyright Owner | Laird, Katie na Younie, Sarah. |
Outcome Areas | Ustawi |
Needs Categories | WASH |
Target Groups | Miaka 3-5, Miaka 6-8, Miaka 9-11 |
Afua hii inahusiasha Mtaala wa Unawaji Mikono dhidi ya vimelea Vinavyosababisha Maradhi kwa washiriki wa program kituoni (Germ’s Journey). Mtaala huu ni mkusanyiko wa vitabu, video, vipeperushi pamoja na nyenzo za ziada zinazofundisha watoto wenye umri miaka 5-11 kuhusu unawaji mikono na umuhimu wake katika kuzuia magonjwa ya kuambukiza. Nyenzo hizi zimetumiwa kwa mafanikio na mashirika tofauti katika nchi nyingi. Mwongozo huu, pamoja na nyenzo hizi, unatoa zana muhimu ya kufundisha unawaji mikono kwa watoto na vijana katika programu.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.