1-24 of 40 results in category: “Afua”
Panga kwa
Mtaala wa Kiroho wa watoto miaka 3-5 - Mwaka 2

Mtaala wa Kiroho wa watoto miaka 3-5 - Mwaka 2

Mtaala huu umetayarishwa kwa ajili ya watoto wa kati ya miaka 3-5. Unahusisha masomo arobaini na sita, yatakayosaidia kumjenga mtoto kiroho. Masomo y…
Mtaala wa Kimwili - Miaka 3-5, Mwaka 1

Mtaala wa Kimwili - Miaka 3-5, Mwaka 1

Mtaala huu umeandaliwa kwa ajili ya watoto wa  miaka 3-5. Unahusisha masomo arobaini na nne, yatakayosaidia kumjenga mtoto kimwili. Masomo …
Mtaala wa Kijamii  umri miaka 3-5- Mwaka 1

Mtaala wa Kijamii umri miaka 3-5- Mwaka 1

Mtaala huu ni kwa ajili ya watoto wa umri kati ya miaka 3-5 . Unahusisha masomo arobaini na tatu ,yanayosaidia kumjenga mtoto kijamii.Masomo mad…
Mtaala wa Kiroho kwa watoto wa umri wa miaka 3-5- Mwaka 1

Mtaala wa Kiroho kwa watoto wa umri wa miaka 3-5- Mwaka 1

Mtaala huu umetayarishwa kwa ajili ya watoto wa umri miaka 3-5. Unahusisha masomo  yatakayosaidia kumjenga mtoto kiroho. Masomo yaliyomo ni: kui…
Mtaala wa Kijamii umri miaka 3-5 - Mwaka 2

Mtaala wa Kijamii umri miaka 3-5 - Mwaka 2

Mtaala huu umetayarishwa kwa ajili ya watoto wa kati ya miaka 3-5. Unahusisha masomo arobaini na sita, yatakayosaidia kumjenga mtoto kijamii. Masomo …
Mtaala wa Kiakili - Miaka 3-5 Mwaka 1

Mtaala wa Kiakili - Miaka 3-5 Mwaka 1

Mtaala huu ni kwa ajili ya  watoto wa miaka 3-5. Unahusisha masomo arobaini na mbili, yatakayosaidia kumjenga mtoto kiakili. Masomo yatahus…
Mtaala wa Kiakili  umri miaka 3-5- Mwaka 2

Mtaala wa Kiakili umri miaka 3-5- Mwaka 2

Mtaala huu umetayarishwa kwa ajili ya watoto wa kati ya miaka 3-5. Kinahusisha masomo arobaini na sita, yatakayosaidia kumjenga mtoto kimwili. Masomo…
Mtaala wa  Kimwili  miaka 3-5 -Mwaka wa 2

Mtaala wa Kimwili miaka 3-5 -Mwaka wa 2

Mtaala huu umetayarishwa kwa ajili ya watoto wa kati ya umri wa miaka 3-5. Unahusisha masomo arobaini na nne, yatakayosaidia kumjenga mtoto kimwili. …
Afua ya Awana ya Vikundi Vya Kujifunza Biblia

Afua ya Awana ya Vikundi Vya Kujifunza Biblia

Mifuatano - 6 Rasilimali
Hii ni Afua inayotumia mbinu ya Vikundi vya Mafunzo ya Biblia.