Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA > Afua mbalimbali > Afya |
Outcome Areas | Ustawi |
Needs Categories | Afya ya akili |
Target Groups | Miaka 3-5, Miaka 6-8, Miaka 9-11, Miaka 12-14, Miaka 15-18, Miaka 19+, Watunzaji, Wafanyakazi wa FCP, Wakufunzi, Washauri |
Mafunzo haya ni utangulizi wa jinsi kiwewe kinavyoathiri watoto na vijana na kile ambacho sisi kama jamii tunaweza kusaidia. Mafunzo yanajumuisha mawasilisho ya PowerPoint na taarifa picha ambazo zitasaidia Kanisa Mshirika Mwenza kutengeneza mazingira salama ya kihisia kwa washiriki wa programu, ambayo ni muhimu sawa sawa na kutengeneza mazingira salama ya kimwili.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.