Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
| Kategoria | Afua > Maishilio |
| Outcome Areas | Kujitosheleza |
| Needs Categories | NEET, TVET, & Uzazi wa Mapato |
| Target Groups | Miaka 12-14, Miaka 15-18, Miaka 19+ |
Mpango wa Anzisha Biashara Yako(SYB) ni programu ya mafunzo yenye lengo kuu na mwelekeo wa kuanzisha na kuboresha biashara ndogo ndogo kama mkakati wa kuunda ajira zaidi na bora kwa wanawake, wanaume na vijana haswa katika nchi zinazoendelea kiuchumi. Inajumuisha vifurushi vinne vinavyohusiana: Tengeneza Wazo la Biashara Yako (GYB), Anzisha Biashara Yako (SYB), Boresha Biashara Yako (IYB) na Panua Biashara Yako (EYB). Kama sehemu ya mpango wa AIM, Compassion International (CI) inafanya kazi kurekebisha vifurushi viwili vya kwanza, GYB na SYB, na kuwa mwanachama wa kitaasisi wa ILO.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.