Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
| Kategoria | Afua > Uwakili wa Mazingira |
| Outcome Areas | Ustawi |
| Needs Categories | Lishe na Usalama wa Chakula, Mabadiliko ya Tabia, NEET, TVET, & Uzazi wa Mapato |
| Target Groups | Miaka 3-5, Miaka 6-8, Miaka 9-11, Miaka 12-14 |
Hii ni afua yenye lengo la kutoa msingi wa kielimu unaowawezesha watoto na vijana kukabiliana na kuwa na ustahimilivu dhidi ya uharibifu wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi katika kipindi chote cha ushiriki wao katika programu ya Compassion.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.