Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
| Kategoria | Afua > Afya |
| Copyright Owner and Year | Compassion, 2025 |
| Outcome Areas | Ustawi |
| Needs Categories | Afya ya jumla, WASH |
| Target Groups | Miaka 1-3, Miaka 3-5, Miaka 6-8, Miaka 9-11 |
Video hii inalenga kuwafundisha watoto aina mbalimbali ya vijidudu kama sehemu ya kujifunza namna ya kuvikabili katika afua hii.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.