Mifuatano - 1 Rasilimali
Lengo kuu la mtaala huu ni kuwaonyesha wanafunzi kuwa wanapolala salama kwenye vyandarua vyao, wanafanya ndoto na malengo yao kuwa salama pia. Mtaala…
Mifuatano - 1 Rasilimali
Kitabu cha mwongozo wa utoaji wa elimu ya afya ya kinywa na meno kwa walimu wa shule msingi kinalenga kumsaidia mwalimu wa somo la sayansi, afya na m…
Video hii inalenga kuwafundisha watoto namna ya kutengeneza bomba la kunawia katika mazingira ya nyumbani.
Lengo la video hii ni kuonyesha umuhimu wa kutumia sabuni wakati wa kunawa.
Lengo la video hii ni kuonyesha namna ya kunawa kwa usahihi.
Video hii inaonyesha namna ya kutumia sabuni ya maji/glow jell katika unawaji sahihi wa mikono.
Video hii inalenga kuwafundisha watoto aina mbalimbali ya vijidudu kama sehemu ya kujifunza namna ya kuvikabili katika afua hii.
Hii ni video inayoonyesha unawaji mikono sahihi.