Main Logo
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
  • Jukwaa la majadiliano
  • Jifunze
  • Maktaba

Teua Lugha Unayopenda

  • English
  • Kiswahili
  • Mwanzo
  • Maktaba
  • Jifunze
  • Jukwaa la majadiliano
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
Vinjari▾
  • Zote
  • RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
    • Zote
    • MITAALA YA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
    • Afua mbalimbali
      • Zote
      • Afya
      • Kunusuru Maisha na Hatua za awali za makuzi ya watoto
        • Zote
      • Kiroho
  • Ulinzi wa Mtoto
  • Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa
Zote▾
  • Zote
  • RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
    • Zote
    • MITAALA YA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
    • Afua mbalimbali
      • Zote
      • Afya
      • Kunusuru Maisha na Hatua za awali za makuzi ya watoto
        • Zote
      • Kiroho
  • Ulinzi wa Mtoto
  • Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa
Search

Maktaba

Jipatie nyenzo au raslimali muhimu - katika video za kutia motisha, masomo na machapisho ya kitheolojia kuhusu watoto. Unaweza kushirikisha rasilimali zako mwenyewe ili kuwasaidia watu wengine wanaohusika na watoto wanaoishi katika mazingira ya umaskini.

Hati Maarufu

  • Mfano wa Mpanzi

    Mfano wa Mpanzi

    Video hii hai inasimulia mfano wa mpanzi ambao Yesu alitoa, kama unavyoelezwa katika Mathayo 13:1-23, Marko 4:1-20 na Luka 8:1-15. Video inaonyesha m…
  • Mkakati wa Vikundi vya kuweka akiba( SGI)

    Mkakati wa Vikundi vya kuweka akiba( SGI)

    Mwongozo huu unatumika kuwezesha vikundi vya akiba katika kanisa mchirikamwenza.
  • CITZ-Mwongozo wa Programu ya mawasiliano- 2024

    CITZ-Mwongozo wa Programu ya mawasiliano- 2024

    Mwongozo huu ni kwa ajili watendakazi wapya ili waweze kujua mambo ya msingi katika mawasiliano ya washiriki wa programu na wafadhili.
  • Mtaala wa Kiroho wa watoto miaka 9-11- Mwaka 2

    Mtaala wa Kiroho wa watoto miaka 9-11- Mwaka 2

  • Farisayo na Mtoza-ushuru

    Farisayo na Mtoza-ushuru

    Video hii inasimulia fumbo la Farisayo na Mtoza-ushuru kutokana na Luka 18:9-14. Hadithi hii inafundisha kuhusu msimamo wa maombi yetu kwa Mungu: tuk…
  • Mada za ulinzi za kufundishia watoto na vijana

    Mada za ulinzi za kufundishia watoto na vijana

  • Mtaala wa Kiroho kwa watoto wa umri wa miaka 3-5- Mwaka 1

    Mtaala wa Kiroho kwa watoto wa umri wa miaka 3-5- Mwaka 1

    Mtaala huu umetayarishwa kwa ajili ya watoto wa umri miaka 3-5. Unahusisha masomo  yatakayosaidia kumjenga mtoto kiroho. Masomo yaliyomo ni: kui…
  • Viwango vya Utekelezaji wa programu

    Viwango vya Utekelezaji wa programu

    Mowngozo huu unahusisha viwango vya utekelezaji wa programu mbalimbali zinatofanyika kwa maendeleo ya watoto na vijana katika kituo.
  • Ufugaji wa Kuku

    Ufugaji wa Kuku

  • SAFINA TOOLKIT GUIDE-CITZ 2024

    SAFINA TOOLKIT GUIDE-CITZ 2024

    Mwongozo huu ulenga kusaidia watendakazi wapya hasa wanaohusika na fedha kituoni kupata ujuzi wa namna ya kutumia Safina toolki kwa masuala yote ya f…
  • Mwongozo wa Afua ya kunusuru maisha na programu ya nyumbani

    Mwongozo wa Afua ya kunusuru maisha na programu ya nyumbani

  • Mwana mpotevu sehemu 1

    Mwana mpotevu sehemu 1

    Video za Mwana Mpotevu ziko 2 na zinasimulia mfano wa 'Mwana Mpotevu'  kama inavyopatikana katika Biblia Luka 15:11-32. Sehemu hii ya …
  • Mwongozo wa mafunzo ya ulinzi wa mtoto kwa Wazazi/walezi

    Mwongozo wa mafunzo ya ulinzi wa mtoto kwa Wazazi/walezi

  • Mtaala wa Kiakili wa watoto miaka 6-8- Mwaka 2

    Mtaala wa Kiakili wa watoto miaka 6-8- Mwaka 2

  • Mtaala wa Kiroho wa watoto miaka 9-11- Mwaka 1

    Mtaala wa Kiroho wa watoto miaka 9-11- Mwaka 1

  • Mtaala wa Kimwili - Miaka 3-5, Mwaka 1

    Mtaala wa Kimwili - Miaka 3-5, Mwaka 1

    Mtaala huu umeandaliwa kwa ajili ya watoto wa  miaka 3-5. Unahusisha masomo arobaini na nne, yatakayosaidia kumjenga mtoto kimwili. Masomo …
  • Nidhamu za kiroho miaka 12-19+

    Nidhamu za kiroho miaka 12-19+

  • Mtaala wa Kijamii wa watoto miaka 9-11- Mwaka 1

    Mtaala wa Kijamii wa watoto miaka 9-11- Mwaka 1

  • Mwongozo wa Mafunzo ya mtaala kwa ajili ya Walimu na watendakazi wa kituo

    Mwongozo wa Mafunzo ya mtaala kwa ajili ya Walimu na watendakazi wa kituo

    Mwongozo huu unatumika kwa walimu na watendakazi ambao wanahusika kufundisha watoto n vijana katika huduma ya mtoto na kijana.
  • Ujuzi wa Malezi

    Ujuzi wa Malezi

    Mwongozo huu umetengenezwa maalum kwa ajili ya kufundishia wazazi/walezi ili kuwajengea ujuzi wa malezi na ulinzi wa mtoto. 
  • Mtaala wa Kijamii wa watoto miaka 9-11- Mwaka 2

    Mtaala wa Kijamii wa watoto miaka 9-11- Mwaka 2

  • Tamko la Ahadi ya Ulinzi wa Matoto

    Tamko la Ahadi ya Ulinzi wa Matoto

    Tamko la Ahadi ya Ulinzi wa Mtoto linapinga aina zote za dhuluma na unyanyasaji wa watoto. Pia linaichochea Compassion kufanya kila iwezalo  kuh…
  • Mwongozo wa mafunzo ya Viongozi wa Kanisa mshirikamwenza

    Mwongozo wa mafunzo ya Viongozi wa Kanisa mshirikamwenza

    Mwongozo huu unalenga kutoa maelezo juu ya usimamizi wa huduma ya mtoto na kijana kwa viongozi wa makanisa yaliyo katika ushirikawenza na Compassion …
  • Mwongozo wa mafunzo ya ulinzi wa mtoto kwa Watendakazi na wasaidizi wa awali

    Mwongozo wa mafunzo ya ulinzi wa mtoto kwa Watendakazi na wasaidizi wa awali

    Mwongozo huu unalenga kuwezesha watendakazi, walimu wa watoto na vijana na watu wengine ambao wanaweza kuhusika katika huduma ya awali kwa watoto na …
  • Mtaala wa Kiroho wa watoto miaka 6-8 - Mwaka 2

    Mtaala wa Kiroho wa watoto miaka 6-8 - Mwaka 2

  • CITZ Mwongozo wa programu za Afya 2024

    CITZ Mwongozo wa programu za Afya 2024

    Mwongozo huu unalezea taratibu mbalimbali katika kutekeleza programu za afya kwenye kituo cha huduma ya mtoto na kijana.
  • Mtaala wa vijana miaka 12-14 Mwaka wa 1

    Mtaala wa vijana miaka 12-14 Mwaka wa 1

  • Mwongozo wa Mwezeshaji- Mkakati wa vikundi vya kuweka akiba

    Mwongozo wa Mwezeshaji- Mkakati wa vikundi vya kuweka akiba

    Huu ni mwongozo wa mwezeshaji wa vikundi vya kuweka akiba utakawezesha kuratibu shughuli za vikundi.
  • Mtaala wa Kiroho wa watoto miaka 6-8 - Mwaka 1

    Mtaala wa Kiroho wa watoto miaka 6-8 - Mwaka 1

  • Mwongozo wa matumizi ya mtaala wa programu ya nyumbani

    Mwongozo wa matumizi ya mtaala wa programu ya nyumbani

    Huu ni mwongozo unaoelekeza matumizi ya mtaala wa programu ya nyumbani. Ni kwa lengoa la kumsaidia mtendakazi katika utekelezaji wa mtaala wa program…

Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.

  • Kutuhusu​
  • Wasiliana Nasi
  • Masharti ya Matumizi
  • Faragha