Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA > MITAALA YA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA |
Copyright Owner | Compassion International |
Target Groups | Miaka 19+ |
Hii ni mitaala ya kufundishia vijana wa miaka 12-19+ masuala ya Kiroho. Ndani ya mitaala hii kuna masomo mbalimbali yanayohusu ukuaji wa Kijana katika eneo la Kiroho.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.