Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Category | Child and Youth tutoring resources > Child and youth Curricula |
Copyright Owner | Compassion International |
Target Groups | 12-14 years, 15-18 years, 19+ years |
Huu ni mfuatano wa mitaala ya shughuli za uzalishaji kipato kwa umri wa miaka 12-19+ ambazo zinaweza kuchaguliwa kufundisha kulingana na mazingira. Lengo la mitaala hii ni kuhakikisha kila kijana anajifunza stadi zitakazomwezesha kuzalisha kipato na kujitemea kiuchumi ili kufikia matokeo ya Utoshelevu wa kiuchumi.
ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.