Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA > Afua mbalimbali > Afya |
Outcome Areas | Ustawi |
Needs Categories | Afya ya akili |
Target Groups | Miaka 9-11, Miaka 12-14, Miaka 15-18, Miaka 19+ |
Afua hii inakusudiwa kuongeza ufahamu, kukuza uelewaji, na kukuza huruma na ujuzi wa vitendo kwa kukabiliana na kujiua ili kuzuiliwe. Washirika wa Kanisa Mshirika Mwenza watakuwa na vifaa vya kuunda maeneo salama ya kisaikolojia kwa watoto na vijana, ambayo yanahusishwa moja kwa moja na vijana wanaofurahia afya ya akili thabiti.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.