Main Logo
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
  • Sisi ni akina nani?
  • Jukwaa la majadiliano
  • Jifunze
  • Maktaba

Teua Lugha Unayopenda

  • English
  • Kiswahili
  • Mwanzo
  • Maktaba
  • Jifunze
  • Jukwaa la majadiliano
  • Sisi ni akina nani?
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
Ulinzi wa Mtoto  >  Mwili Wangu ni Mwili Wangu Mifuatano
Zote▾
  • Zote
  • RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
    • Zote
    • AFUA MBALIMBALI ZA MAENDELEO YA MTOTO NA KIJANA
      • Zote
      • Afua ya Afya ya Uzazi-Grow up Smart
      • Afua ya Kuzuia Kujiua-Suicide Prevention
    • MAENDELEO YA KIROHO
      • Zote
      • Mtaala wa Kiroho 9-11
      • Mtaala wa Kiroho 3-5
      • Video- hadithi za kibiblia
      • Mtaala wa Kiroho 6-8
    • MAENDELEO YA KIMWILI
      • Zote
      • Mtaa wa kimwili 9-11
      • Mtaa wa kimwili 3-5
      • Mtaa wa kimwili 6-8
    • MAENDELEO YA KIAKILI
      • Zote
      • Mtaala wa Kiakili 9 - 11
      • Mtaala wa Kiakili 3 - 5
      • Mtaala wa Kiakili 6 - 8
    • MAENDELEO YA KIJAMII
      • Zote
      • Mtaala wa kijamii 3-5
      • Mtaala wa kijamii 9-11
      • Mtaala wa kijamii 6-8
    • MAENDELEO YA VIJANA
      • Zote
      • Mtaala wa Vijana 19+
      • Mtaala wa Vijana 15-18
      • Mtaala wa Uongozi
      • Mtaala wa Vijana 12-14
      • Shughuli za ziada
      • Shughuli za Kuzalisha Kipato
      • Mtaala wa kiroho 12-19+
  • Ulinzi wa Mtoto
  • Falsafa ya Mtoto
  • Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa
    • Zote
    • Falsafa
  • Afua mbalimbali
    • Zote
    • Ulinzi
Search
0 star average - 0 Kura
Share on Twitter Share on Facebook Share on Pinterest Share by Email

Wimbo wa Mwili Wangu ni Mwili Wangu

2019
Tazama

Wimbo wa Mwili Wangu ni Mwili Wangu

Pakua

Uhajitaji Kuingia

Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!

Choose Video Size

loading
Video • Kiswahili • MB 15.2
Lebo: Afya/Usalama, Mpango wa Usalama, Vitu Visivyo na Afya, Thamani ya Mtoto, Haki za Mtu Binafsi, Kujiamini, Kuhisi Salama, Kuweka Mipaka, Sehemu Salama, Unyanyasaji wa Watoto, Utetezi wa Watoto, Watoto wa miaka 3-5, Watoto wa miaka 6-8
Kategoria Ulinzi wa Mtoto
Copyright Owner Chrissy Sykes
Mwandishi Chrissy Sykes

Video hii ya muziki ya katuni inawafundisha watoto kwamba mwili wao ni wao wenyewe na hakuna aliye na haki ya kuwaumiza au kugusa sehemu zao za siri.  Kwa mashauri ya kujadili mguso unaokubaliwa na usiokubaliwa, kanuni ya “Hakuna siri”, na cha kufanya mtoto akikueleza kwamba amenyanyaswa angalia hati ya Mpango Kamili wa Mwili Wangu ni Mwili Wangu na Hati na video ya mafunzo ya Wimbo wa 1 wa Mwili Wangu. 

Hati hii ni sehemu ya: Mwili Wangu ni Mwili Wangu

Majadiliano


Pakia maoni yote ya 0, au ongeza yako.

Hati Zinazohusiana


  • Mwili Wangu ni Mwili Wangu

    Mwili Wangu ni Mwili Wangu

    Mifuatano - 14 Rasilimali
    Mwili Wangu ni Mwili Wangu ni mpango wa bure wa kuzuia unyanyasaji wa watoto unaowawezesha ama kuwaelimisha watoto kupitia burudani, video za muziki …
  • Kitabu  cha kazi cha Watoto cha Mwili Wangu ni Mwili Wangu

    Kitabu cha kazi cha Watoto cha Mwili Wangu ni Mwili Wangu

    Kitabu cha kazi cha watoto cha Mwili Wangu ni Mwili Wangu ni kitabu cha usaidizi, cha rasilimali kinachoingiliana na kilichoundwa kusaidia watoto kuj…
  • Hati ya Mpango Kamili wa Mwili Wangu ni Mwili Wangu

    Hati ya Mpango Kamili wa Mwili Wangu ni Mwili Wangu

    Hati ya Mpango Kamili wa Mwili Wangu ni Mwili Wangu inatoa njia rahisi, ya hatua kwa hatua ya kujadili na watoto mada nyeti au ambayo huenda hutaki k…
  • Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 1 wa Mwili Wangu

    Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 1 wa Mwili Wangu

    Mafunzo ya Wimbo wa 1 wa Mwili Wangu ni Mwili Wangu yanatayarisha wazazi na watu ambao wanafanya kazi na watoto kuwasilisha wimbo wa kwanza kwenye to…
  • Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 2 wa Iwapo Huna Hisia Njema Kulihusu

    Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 2 wa Iwapo Huna Hisia Njema Kulihusu

    Mafunzo ya Wimbo wa 2 wa Iwapo Huna Hisia Njema Kulihusu yanawatayarisha wazazi na watu ambao wanafanya kazi na watoto kuwasilisha wimbo wa pili kwen…
  • Wimbo wa Mchezo wa Je, Ingekuwaje?

    Wimbo wa Mchezo wa Je, Ingekuwaje?

    Video hii ya muziki ya katuni inawafundisha watoto “Wakatae!” katakata. Video hii inajumuisha mifano mitatu ya hali ambapo watoto wanahim…
  • Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 3 wa “Je, Ingekuwaje?”

    Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 3 wa “Je, Ingekuwaje?”

    Mafunzo ya Wimbo wa 3 wa “Je, Ingekuwaje” yanawatayarisha wazazi na watu ambao wanafanyakazi na watoto kuwasilisha wimbo wa tatu kwenye t…
  • Wimbo wa Iwapo una Shida – Muambie Mtu

    Wimbo wa Iwapo una Shida – Muambie Mtu

    Video hii ya muziki ya katuni inawafundisha watoto umuhimu wa kumueleza mtu mzima anayeaminika ikiwa mtu anawaumiza. Kwa mashauri ya kuwasaidia watot…
  • Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 4 wa Iwapo una Shida

    Hati ya Mafunzo ya Wimbo wa 4 wa Iwapo una Shida

      Mafunzo ya Wimbo wa 4 wa Iwapo una Shida yanawatayarisha wazazi na watu ambao wanafanyakazi na watoto kuwasilisha wimbo wa nne kwenye toleo la…
  • Wimbo wa Upendo ni Mpole

    Wimbo wa Upendo ni Mpole

    Video hii ya muziki ya katuni inawafundisha watoto upendo unavyofanana, ili waweze kutambua wakati ambapo jambo fulani si lenye upendo.  Kwa vif…

Tuko kwa ajili ya watoto.

Mtandao wa ForChildren.com, unaotolewa na shirika la Compassion International, hutoa mawazo, fursa za kujifunza na uhusiano ili kuwasaidia watu wanaofanya kazi na watoto walio katika mazingira hatarishi. Sisi ni jamii ya  wafuasi wa Yesu duniani kote, jamii iliyojitolea kwa ajili ya ukuaji wa watoto kiujumla. Tunakukaribisha ujiunge nasi katika jamii hii yenye ushirikiano ili kushirikisha mawazo, uzoefu, mbinu na zana zinazowasaidia watoto kuimarika hata wakiwa katika changamoto.

Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.

  • Kutuhusu​
  • Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Masharti ya Matumizi
  • Faragha