Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | Ulinzi wa Mtoto |
Copyright Owner | Chrissy Sykes |
Mwandishi | Chrissy Sykes |
Also Available in | French, Spanish, English |
Video hii ya muziki ya katuni inawafundisha watoto umuhimu wa kumueleza mtu mzima anayeaminika ikiwa mtu anawaumiza. Kwa mashauri ya kuwasaidia watoto kuelewa kwamba huenda baadhi ya watu wazima wasiwasikilize na kuwahimiza waendelee kusema hadi mtu awasikilize na awasaidie, angalia hati ya Mpango Kamili wa Mwili Wangu ni Mwili Wangu na Hati na video ya mafunzo ya Wimbo wa 4 wa Iwapo una Shida.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.