Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | Ulinzi wa Mtoto |
Copyright Owner | Chrissy Sykes |
Mwandishi | Chrissy Sykes |
Also Available in | French, Spanish, English |
Video hii ya muziki ya katuni inawafundisha watoto upendo unavyofanana, ili waweze kutambua wakati ambapo jambo fulani si lenye upendo. Kwa vifaa vya ziada kuhusu kuwasaidia watoto kuelewa kwamba wanapaswa kutunzwa, angalia hati ya Mpango Kamili wa Mwili Wangu ni Wangu na Hati ya mafunzo ya Wimbo wa 5 wa Upendo ni Mpole.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.