Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Category | Child Protection |
Copyright Owner | Chrissy Sykes |
Author | Chrissy Sykes |
Also Available in | French, Spanish, English |
Video hii ya muziki ya katuni inawafundisha watoto “Wakatae!” katakata. Video hii inajumuisha mifano mitatu ya hali ambapo watoto wanahimizwa, “Wakatae!” Kwa mifano na mashauri ya ziada ya kuwasaidia watoto wajue na wawe na ujasiri wa kuzungumza na wazoee “Kukataa!”, angalia hati ya Mpango Kamili wa Mwili Wangu ni Wangu na Hati na video ya mafunzo ya Wimbo wa 3 wa “Je, Ingekuwaje?”.
ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.