Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | Ulinzi wa Mtoto |
Copyright Owner | Chrissy Sykes |
Mwandishi | Chrissy Sykes |
Also Available in | French, Spanish, English |
Mafunzo ya Wimbo wa 1 wa Mwili Wangu ni Mwili Wangu yanatayarisha wazazi na watu ambao wanafanya kazi na watoto kuwasilisha wimbo wa kwanza kwenye toleo la Mwili Wangu Ni Mwili Wangu. Wimbo huu huwasaidia watoto kuelewa thamani na faragha ya miili yao. Mafunzo hayo yanajumuisha mwongozo wa majadiliano na shughuli ya ziada ya kujadili mada zilizotajwa kwenye video. Mengine yaliyopo ni maneno ya wimbo na “Kanuni Rahisi” zinazowasaidia watoto waweza “Kukataa” na kumueleza mtu mzima anayeaminika ikiwa kuna shida.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.