Main Logo
  • Login/Join
    • Language
  • Discussions
  • Courses
  • Library

Select A Language Preference

  • English
  • Kiswahili
  • Home
  • Library
  • Courses
  • Discussions
  • Language
  • Login/Join
All▾
  • All
  • Intervention Categories
    • All
    • Job Aid: Downloading an Intervention Guide
    • Health
    • Livelihoods
    • Spiritual Formation
    • Protection
    • Youth Development
    • Disaster Resilience
    • Survival and Early Childhood
  • Child Protection
  • Child and youth Curricula
  • FCP learning resources
Search
Categories
  • All
  • Intervention Categories
    • All
    • Job Aid: Downloading an Intervention Guide
    • Health
    • Livelihoods
    • Spiritual Formation
    • Protection
    • Youth Development
    • Disaster Resilience
    • Survival and Early Childhood
  • Child Protection
  • Child and youth Curricula
  • FCP learning resources

Mtaala wa Kijamii umri miaka 3-5 - Mwaka 2

Preview

Preview

  • Page 1
  • Page 2
  • Page 3
  • Page 4
  • Page 5
Download

Login Required

Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!

PDF • Swahili • 8.5 MB
Category Intervention Categories
Copyright Owner and Year Compassion International, 2015
Target Groups 3-5 years

Mtaala huu umetayarishwa kwa ajili ya watoto wa kati ya miaka 3-5. Unahusisha masomo arobaini na sita, yatakayosaidia kumjenga mtoto kijamii. Masomo yanahusisha mada kama: kujitambua, maendeleo ya jamii, utetezi, hisia za maendeleo, kukua kwa hisia, familia, mahusiano na jamii, kutambua jamii, kujiandaa kuwa kiongozi, na hadithi za Bibilia. Kila mojawapo ya masomo haya arobaini na sita yanahusisha mpangilio wa somo (urefu, matayarisho na vifaa vya kutumia). Muda wa darasa, unaohusisha maelezo kwa kina, jinsi ya kufundisha, pamoja na michezo na shughuli zinazowashirikisha wanafunzi ili kuwasaidia kusoma na kuelewa. Kuna tathmini ya mwalimu na ya mwanafunzi pia. Masomo na shughuli za vitendo  zinadhamiriwa kutumiwa kwa makundi.

This document is part of: Mitaala ya watoto umri miaka 3-5

Discussion


Load all 0 comments, or add your own.

Related Documents


  • Mitaala ya watoto umri miaka 3-5

    Mitaala ya watoto umri miaka 3-5

    Series - 8 Resources
    Huu ni Mfuatano wa masomo ya kufundishia watoto kwa maendeleo ya watoto miaka 3-5
  • Mtaala wa Kiakili  umri miaka 3-5- Mwaka 2

    Mtaala wa Kiakili umri miaka 3-5- Mwaka 2

    Mtaala huu umetayarishwa kwa ajili ya watoto wa kati ya miaka 3-5. Kinahusisha masomo arobaini na sita, yatakayosaidia kumjenga mtoto kimwili. Masomo…
  • Mtaala wa Kiakili - Miaka 3-5 Mwaka 1

    Mtaala wa Kiakili - Miaka 3-5 Mwaka 1

    Mtaala huu ni kwa ajili ya  watoto wa miaka 3-5. Unahusisha masomo arobaini na mbili, yatakayosaidia kumjenga mtoto kiakili. Masomo yatahus…
  • Mtaala wa Kiroho wa watoto miaka 3-5 - Mwaka 2

    Mtaala wa Kiroho wa watoto miaka 3-5 - Mwaka 2

    Mtaala huu umetayarishwa kwa ajili ya watoto wa kati ya miaka 3-5. Unahusisha masomo arobaini na sita, yatakayosaidia kumjenga mtoto kiroho. Masomo y…
  • Mtaala wa Kiroho kwa watoto wa umri wa miaka 3-5- Mwaka 1

    Mtaala wa Kiroho kwa watoto wa umri wa miaka 3-5- Mwaka 1

    Mtaala huu umetayarishwa kwa ajili ya watoto wa umri miaka 3-5. Unahusisha masomo  yatakayosaidia kumjenga mtoto kiroho. Masomo yaliyomo ni: kui…
  • Mtaala wa  Kimwili  miaka 3-5 -Mwaka wa 2

    Mtaala wa Kimwili miaka 3-5 -Mwaka wa 2

    Mtaala huu umetayarishwa kwa ajili ya watoto wa kati ya umri wa miaka 3-5. Unahusisha masomo arobaini na nne, yatakayosaidia kumjenga mtoto kimwili. …
  • Mtaala wa Kijamii  umri miaka 3-5- Mwaka 1

    Mtaala wa Kijamii umri miaka 3-5- Mwaka 1

    Mtaala huu ni kwa ajili ya watoto wa umri kati ya miaka 3-5 . Unahusisha masomo arobaini na tatu ,yanayosaidia kumjenga mtoto kijamii.Masomo mad…
  • Safari ya  Vijidudu (Germs' Journey)

    Safari ya Vijidudu (Germs' Journey)

    Nyenzo hii inonyesha safari ya vijidudu kuingia kwenye mwili wa binadamu.
  • Germs'  Journey-Africa

    Germs' Journey-Africa

    This document shows a germs' journey.
  • Kwaheri vijidudu, kuwa shujaa wa kunawa mikono

    Kwaheri vijidudu, kuwa shujaa wa kunawa mikono

    Video inalenga kuwaonyesha watoto namna ya kuwa mashujaa wa kunawa mikono na kuagana kabisa na vijidudu.
  • About
  • Privacy Policy
  • Contact Us
  • Terms of Use

ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.