Main Logo
  • Language
  • Login/Join
  • Connect
  • Learn
  • Library

Select A Language Preference

  • English
  • Kiswahili
  • Home
  • Library
  • Learn
  • Connect
  • Language
  • Login/Join
Child and Youth tutoring resources  >  Child and youth Curricula  >  Mitaala ya watoto umri miaka 3-5 Series
All▾
  • All
  • Child and Youth tutoring resources
    • All
    • Child and youth Curricula
    • Intervention Categories
      • All
      • Resilience
      • Permagarden
      • Health
      • Livelihoods
      • Protection
      • Youth Development
      • Spiritual Development
      • Life Skills
  • Child Protection
  • FCP learning resources
Search
0 star average - 0 votes
Share on Twitter Share on Facebook Share on Pinterest Share by Email

Mtaala wa Kijamii umri miaka 3-5- Mwaka 1

2015
Preview

Preview

  • Page 1
  • Page 2
  • Page 3
  • Page 4
  • Page 5
Download

Login Required

Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!

PDF • Swahili • 9.9 MB
Category Child and Youth tutoring resources
Copyright Owner Compassion International
Target Groups 3-5 years

Mtaala huu ni kwa ajili ya watoto wa umri kati ya miaka 3-5 . Unahusisha masomo arobaini na tatu ,yanayosaidia kumjenga mtoto kijamii.Masomo mada zilizomo ni kama vile; Kujitambua ndani ya Kristo,Mimi ni nani ,Kuchambua hisia ,Ninafurahia jinsia yangu,Nina mpango salama ,nawasiliana na wengine kuhusu hisia zangu,kuwasiliana bila mgogoro,Kujenga msingi ya kujiamini na kadhalika …Kila mojawapo ya masomo haya arobaini na tatu yanahusisha mpangilio wa somo(Urefu, matayarisho na vifaa vya kutumia) Muda wa darasa unahusisha maelezo kwa kina jinsi ya kufunza,pamoja na michezo na shughuli zinazowashirikisha wanafunzi ili kusaidia kusoma na kuelewa pamoja na tathmini ya mwalimu.Masomo na shughuli za vitendoi zinadhamiriwa kutumiwa kwa makundi

This document is part of: Mitaala ya watoto umri miaka 3-5

Discussion


Load all 0 comments, or add your own.

Related Documents


  • Mitaala ya watoto umri miaka 3-5

    Mitaala ya watoto umri miaka 3-5

    Series - 8 Resources
    Huu ni Mfuatano wa masomo ya kufundishia watoto kwa maendeleo ya watoto miaka 3-5
  • Mtaala wa Kiakili  umri miaka 3-5- Mwaka 2

    Mtaala wa Kiakili umri miaka 3-5- Mwaka 2

    Mtaala huu umetayarishwa kwa ajili ya watoto wa kati ya miaka 3-5. Kinahusisha masomo arobaini na sita, yatakayosaidia kumjenga mtoto kimwili. Masomo…
  • Mtaala wa Kiakili - Miaka 3-5 Mwaka 1

    Mtaala wa Kiakili - Miaka 3-5 Mwaka 1

    Mtaala huu ni kwa ajili ya  watoto wa miaka 3-5. Unahusisha masomo arobaini na mbili, yatakayosaidia kumjenga mtoto kiakili. Masomo yatahus…
  • Mtaala wa Kiroho wa watoto miaka 3-5 - Mwaka 2

    Mtaala wa Kiroho wa watoto miaka 3-5 - Mwaka 2

    Mtaala huu umetayarishwa kwa ajili ya watoto wa kati ya miaka 3-5. Unahusisha masomo arobaini na sita, yatakayosaidia kumjenga mtoto kiroho. Masomo y…
  • Mtaala wa Kiroho kwa watoto wa umri wa miaka 3-5- Mwaka 1

    Mtaala wa Kiroho kwa watoto wa umri wa miaka 3-5- Mwaka 1

    Mtaala huu umetayarishwa kwa ajili ya watoto wa umri miaka 3-5. Unahusisha masomo  yatakayosaidia kumjenga mtoto kiroho. Masomo yaliyomo ni: kui…
  • Mtaala wa  Kimwili  miaka 3-5 -Mwaka wa 2

    Mtaala wa Kimwili miaka 3-5 -Mwaka wa 2

    Mtaala huu umetayarishwa kwa ajili ya watoto wa kati ya umri wa miaka 3-5. Unahusisha masomo arobaini na nne, yatakayosaidia kumjenga mtoto kimwili. …
  • Mtaala wa Kijamii umri miaka 3-5 - Mwaka 2

    Mtaala wa Kijamii umri miaka 3-5 - Mwaka 2

    Mtaala huu umetayarishwa kwa ajili ya watoto wa kati ya miaka 3-5. Unahusisha masomo arobaini na sita, yatakayosaidia kumjenga mtoto kijamii. Masomo …
  • English African Core Curriculum - Cognitive - 3 to 5 - Year 2

    English African Core Curriculum - Cognitive - 3 to 5 - Year 2

    The curriculum set, “Cognitive Lesson Plans for Ages 3-5, Year 2” is a collection of 52 lessons that will equip children with the skills …
  • English African Core Curriculum - Physical - 3 to 5 - Year 2

    English African Core Curriculum - Physical - 3 to 5 - Year 2

    The curriculum set, “Physical Lesson Plans for Ages 3-5, Year 2” is a collection of 52 lessons that will equip children to choose good he…
  • English African Core Curriculum - Physical - 3 to 5 - Year 1

    English African Core Curriculum - Physical - 3 to 5 - Year 1

    The curriculum set, “Physical Lesson Plans for Ages 3-5, Year 1” is a collection of 52 lessons that will equip children to choose good he…

ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.

  • About Us
  • Contact Us
  • Terms of Use
  • Privacy Policy