Main Logo
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
  • Jukwaa la majadiliano
  • Jifunze
  • Maktaba

Teua Lugha Unayopenda

  • English
  • Kiswahili
  • Mwanzo
  • Maktaba
  • Jifunze
  • Jukwaa la majadiliano
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA  >  MITAALA YA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA  >  Mitaala ya watoto umri miaka 3-5 Mifuatano
Zote▾
  • Zote
  • RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
    • Zote
    • MITAALA YA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
    • Afua mbalimbali
      • Zote
      • Afya
      • Kiroho
  • Ulinzi wa Mtoto
  • Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa
Search
5 star average - 1 Kura
Share on Twitter Share on Facebook Share on Pinterest Share by Email

Mtaala wa Kiakili - Miaka 3-5 Mwaka 1

2024
Onesha upya

Onesha upya

  • Page 1
  • Page 2
  • Page 3
  • Page 4
  • Page 5
Pakua

Uhajitaji Kuingia

Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!

PDF • Kiswahili • MB 7.6
Kategoria RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
Copyright Owner Compassion International
Target Groups Miaka 3-5

Mtaala huu ni kwa ajili ya  watoto wa miaka 3-5. Unahusisha masomo arobaini na mbili, yatakayosaidia kumjenga mtoto kiakili. Masomo yatahusisha mada kama: kujitambua mimi ni nani, rangi na maumbo, uundaji wa vitu, kuielewa jamii yangu, chakula ninachokula hutoka wapi, ulimwengu wa kazi, naweza kusimulia hadithi, siku za mapumziko/sherehe. Kila mojawapo ya masomo haya arobaini na mbili yanahusisha mpangilio wa somo (urefu, matayarisho na vifaa vya kutumia). Muda wa darasa, unaohusisha maelezo kwa kina, jinsi ya kufunza, pamoja na michezo na shughuli zinazowashirikisha wanafunzi ili kuwasaidia kusoma na kuelewa. Kuna tathmini ya mwalimu na ya mwanafunzi pia. Masomo na shughuli za votendo zinatazamiwa kutumika kwa makundi.

Hati hii ni sehemu ya: Mitaala ya watoto umri miaka 3-5

Majadiliano


Pakia maoni yote ya 0, au ongeza yako.

Hati Zinazohusiana


  • Mitaala ya watoto umri miaka 3-5

    Mitaala ya watoto umri miaka 3-5

    Mifuatano - 8 Rasilimali
    Huu ni Mfuatano wa masomo ya kufundishia watoto kwa maendeleo ya watoto miaka 3-5
  • Mtaala wa Kiakili  umri miaka 3-5- Mwaka 2

    Mtaala wa Kiakili umri miaka 3-5- Mwaka 2

    Mtaala huu umetayarishwa kwa ajili ya watoto wa kati ya miaka 3-5. Kinahusisha masomo arobaini na sita, yatakayosaidia kumjenga mtoto kimwili. Masomo…
  • Mtaala wa Kiroho wa watoto miaka 3-5 - Mwaka 2

    Mtaala wa Kiroho wa watoto miaka 3-5 - Mwaka 2

    Mtaala huu umetayarishwa kwa ajili ya watoto wa kati ya miaka 3-5. Unahusisha masomo arobaini na sita, yatakayosaidia kumjenga mtoto kiroho. Masomo y…
  • Mtaala wa Kiroho kwa watoto wa umri wa miaka 3-5- Mwaka 1

    Mtaala wa Kiroho kwa watoto wa umri wa miaka 3-5- Mwaka 1

    Mtaala huu umetayarishwa kwa ajili ya watoto wa umri miaka 3-5. Unahusisha masomo  yatakayosaidia kumjenga mtoto kiroho. Masomo yaliyomo ni: kui…
  • Mtaala wa  Kimwili  miaka 3-5 -Mwaka wa 2

    Mtaala wa Kimwili miaka 3-5 -Mwaka wa 2

    Mtaala huu umetayarishwa kwa ajili ya watoto wa kati ya umri wa miaka 3-5. Unahusisha masomo arobaini na nne, yatakayosaidia kumjenga mtoto kimwili. …
  • Mtaala wa Kijamii umri miaka 3-5 - Mwaka 2

    Mtaala wa Kijamii umri miaka 3-5 - Mwaka 2

    Mtaala huu umetayarishwa kwa ajili ya watoto wa kati ya miaka 3-5. Unahusisha masomo arobaini na sita, yatakayosaidia kumjenga mtoto kijamii. Masomo …
  • Mtaala wa Kijamii  umri miaka 3-5- Mwaka 1

    Mtaala wa Kijamii umri miaka 3-5- Mwaka 1

    Mtaala huu ni kwa ajili ya watoto wa umri kati ya miaka 3-5 . Unahusisha masomo arobaini na tatu ,yanayosaidia kumjenga mtoto kijamii.Masomo mad…
  • English African Core Curriculum - Cognitive - 3 to 5 - Year 2

    English African Core Curriculum - Cognitive - 3 to 5 - Year 2

    The curriculum set, “Cognitive Lesson Plans for Ages 3-5, Year 2” is a collection of 52 lessons that will equip children with the skills …
  • English African Core Curriculum - Physical - 3 to 5 - Year 2

    English African Core Curriculum - Physical - 3 to 5 - Year 2

    The curriculum set, “Physical Lesson Plans for Ages 3-5, Year 2” is a collection of 52 lessons that will equip children to choose good he…
  • English African Core Curriculum - Physical - 3 to 5 - Year 1

    English African Core Curriculum - Physical - 3 to 5 - Year 1

    The curriculum set, “Physical Lesson Plans for Ages 3-5, Year 1” is a collection of 52 lessons that will equip children to choose good he…

Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.

  • Kutuhusu​
  • Wasiliana Nasi
  • Masharti ya Matumizi
  • Faragha