Main Logo
  • Language
  • Login/Join
  • Connect
  • Learn
  • Library

Select A Language Preference

  • English
  • Kiswahili
  • Home
  • Library
  • Learn
  • Connect
  • Language
  • Login/Join
Child and Youth tutoring resources  >  Child and youth Curricula  >  Video za kufundishia watoto Series
All▾
  • All
  • Child and Youth tutoring resources
    • All
    • Child and youth Curricula
    • Intervention Categories
      • All
      • Resilience
      • Permagarden
      • Health
      • Livelihoods
      • Protection
      • Youth Development
      • Spiritual Development
      • Life Skills
  • Child Protection
  • FCP learning resources
Search
0 star average - 0 votes
Share on Twitter Share on Facebook Share on Pinterest Share by Email

Mwana mpotevu sehemu 2

2015
Watch

Mwana mpotevu sehemu 2

Download

Login Required

Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!

Choose Video Size

loading
Video • Swahili • 10.4 MB
Category Child and Youth tutoring resources > Child and youth Curricula
Copyright Owner max7.org
Target Groups 3-5 years, 6-8 years

Video za Mwana Mpotevu, sehemu ya pili, mfululizo hai, inasimulia fumbo la 'Mwana Mpotevu' au (Mwana Mpotevu) kama inavyopatikana katika Luka 15:11-32. Sehemu ya pili inaangalia jibu la mtoto mvulana mkubwa. Hadithi inasisitiza dhamir za kuamini na kuwa mmoja wa watu. Kwa sababu video haina vipengele vya lugha, inafaa kuambatana na usomaji wa sauti wa fungu la Biblia katika lugha au utafsiri wowote. Rasilimali hii ya video ina urefu wa dakika 2 na sekunde 19, na infaa kwa watu wa umri wote.

This document is part of: Video za kufundishia watoto

Discussion


Load all 0 comments, or add your own.

Related Documents


  • Video za kufundishia watoto

    Video za kufundishia watoto

    Series - 5 Resources
  • Mfano wa talanta

    Mfano wa talanta

    Mtu mmoja anawaachia wafanyakazi mali yake na kuwapa jukumu la kutumia mali yake ili wazalishe faida. Walifanya kitu gani? Kwa sababu video haina vip…
  • Fumbo la kondoo aliyepotea

    Fumbo la kondoo aliyepotea

    Video hii inaonyesha fumbo la Yesu la kondoo aliyepotea, kama inavyoonekana katika Matayo 18:10-14 na Luka 15:1-7. Wakati kondoo mmoja anapotea …
  • Mwana mpotevu sehemu 1

    Mwana mpotevu sehemu 1

    Video za Mwana Mpotevu ziko 2 na zinasimulia mfano wa 'Mwana Mpotevu'  kama inavyopatikana katika Biblia Luka 15:11-32. Sehemu hii ya …
  • Nyenzo za ziada

    Nyenzo za ziada

    Dhumuni la nyaraka hii ni kumpa mwezeshaji nyenzo zote za ziada kwenye utekelezaji wa afua.
  • Log frame ya Ufuatiliaji na tathmini

    Log frame ya Ufuatiliaji na tathmini

    Hii ni nyenzo mojawapo katika nyenzo za tathmini inayoonesha mtiririko wa kimantiki wa viashiria.
  • Logic Model- Nyenzo ya mtiririko wa kimantiki

    Logic Model- Nyenzo ya mtiririko wa kimantiki

    Hii ni nyenzo mojawapo katika tathmini na ufuatiliaji ikionesha matokeo tarajiwa kwa afua ya unawaji mikono.
  • Mwongozo wa Ufuatiliaji na Tathmini

    Mwongozo wa Ufuatiliaji na Tathmini

    Madhumuni ya mwongozo huu ni kuwezesha Ofisi ya Nchi na Kanisa Mshirika Mwenza kufuatilia na kutathmini ufanisi wa afua hii kulingana na muktadha wet…
  • Mwongozo wa Mwezeshaji

    Mwongozo wa Mwezeshaji

    Lengo la mwongozo huu ni kutoa maelekezo kwa wawezeshaji wakati wa utekelezaji wa afua.
  • Muhtasari wa Afua kwa ajili ya ofisi ya nchi

    Muhtasari wa Afua kwa ajili ya ofisi ya nchi

    Lengo la mwongozo huu ni kutoa muhtasari wa utekelezaji wa afua.

ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.

  • About Us
  • Contact Us
  • Terms of Use
  • Privacy Policy