Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Category | Child and Youth tutoring resources > Child and youth Curricula |
Copyright Owner | max7.org |
Target Groups | 3-5 years, 6-8 years |
Video hii inaonyesha fumbo la Yesu la kondoo aliyepotea, kama inavyoonekana katika Matayo 18:10-14 na Luka 15:1-7. Wakati kondoo mmoja anapotea kutoka katika kundi, mchungaji anawaacha kondoo wengine na kwenda kumuokoa kondoo aliyepotea. Video inagusia hisia za kupoteza kitu muhimu sana na hisia nzuri ya kukipata. Umepotea au umepatikana? Rasilimali hii ya video ina urefu wa dakika 2 na sekunde 9, na infaa kwa watu wa umri wote. Hakuna vipengele vya lugha, kwa hivyo inafaa kuambatana na usomaji wa sauti wa fumbo kutoka lugha yoyote au utafsiri wowote wa Biblia.
ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.