Main Logo
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
  • Jukwaa la majadiliano
  • Jifunze
  • Maktaba

Teua Lugha Unayopenda

  • English
  • Kiswahili
  • Mwanzo
  • Maktaba
  • Jifunze
  • Jukwaa la majadiliano
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA  >  MITAALA YA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA  >  Video za kufundishia watoto Mifuatano
Zote▾
  • Zote
  • RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
    • Zote
    • MITAALA YA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
    • Afua mbalimbali
      • Zote
      • Afya
      • Kunusuru Maisha na Hatua za awali za makuzi ya watoto
        • Zote
      • Kiroho
  • Ulinzi wa Mtoto
  • Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa
Search
0 star average - 0 Kura
Share on Twitter Share on Facebook Share on Pinterest Share by Email

Mfano wa talanta

2015
Tazama

Mfano wa talanta

Pakua

Uhajitaji Kuingia

Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!

Choose Video Size

loading
Video • Kiswahili • MB 22.6
Kategoria RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA > MITAALA YA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
Copyright Owner max7.org
Target Groups Miaka 3-5, Miaka 6-8, Miaka 9-11

Mtu mmoja anawaachia wafanyakazi mali yake na kuwapa jukumu la kutumia mali yake ili wazalishe faida. Walifanya kitu gani? Kwa sababu video haina vipengele vya lugha, inafaa kuambatana na usomaji wa sauti wa fumbo la talanta (Mathayo 25:14-30). Utafanya nini na vipawa  ambavyo Mungu amekubariki navyo? Rasilimali hii ya video hai ina urefu wa dakika 4 na sekunde 45, na inafaa kwa watu wenye umri wa miaka 5 na kuendelea.

Hati hii ni sehemu ya: Video za kufundishia watoto

Majadiliano


Pakia maoni yote ya 0, au ongeza yako.

Hati Zinazohusiana


  • Mtiririko wa Kimantiki wa Awana (logic model)

    Mtiririko wa Kimantiki wa Awana (logic model)

  • Muundo wa Tathmini (Awana log frame)

    Muundo wa Tathmini (Awana log frame)

  • Kifurushi cha Tathmini na Ufuatiliaji (Awana M&E)

    Kifurushi cha Tathmini na Ufuatiliaji (Awana M&E)

    Madhumuni ya mwongozo huu ni kuandaa Ofisi za Kitaifa na Kanisa Washirika Wenza(FCPs) ili kufuatilia na kutathmini ufanisi wa afua hii katika muktadh…
  • Muhtasari wa Afua kwa Ofisi ya Nchi

    Muhtasari wa Afua kwa Ofisi ya Nchi

    Madhumuni ya mwongozo huu ni kuipa Ofisi ya Nchi maelezo ya jumla ya afua
  • Mwongozo wa Mkakati wa Awana

    Mwongozo wa Mkakati wa Awana

    Madhumuni ya mwongozo huu ni kuzipa  Ofisi za Nchi Mapitio ya Mbinu za Vikundi vya Mafunzo ya Biblia.
  • Afua ya Awana ya Vikundi Vya Kujifunza Biblia

    Afua ya Awana ya Vikundi Vya Kujifunza Biblia

    Mifuatano - 5 Rasilimali
    Hii ni Afua inayotumia mbinu ya Vikundi vya Mafunzo ya Biblia.
  • Nyenzo za ziada

    Nyenzo za ziada

    Dhumuni la nyaraka hii ni kumpa mwezeshaji nyenzo zote za ziada kwenye utekelezaji wa afua.
  • Log frame ya Ufuatiliaji na tathmini

    Log frame ya Ufuatiliaji na tathmini

    Hii ni nyenzo mojawapo katika nyenzo za tathmini inayoonesha mtiririko wa kimantiki wa viashiria.
  • Logic Model- Nyenzo ya mtiririko wa kimantiki

    Logic Model- Nyenzo ya mtiririko wa kimantiki

    Hii ni nyenzo mojawapo katika tathmini na ufuatiliaji ikionesha matokeo tarajiwa kwa afua ya unawaji mikono.
  • Mwongozo wa Ufuatiliaji na Tathmini

    Mwongozo wa Ufuatiliaji na Tathmini

    Madhumuni ya mwongozo huu ni kuwezesha Ofisi ya Nchi na Kanisa Mshirika Mwenza kufuatilia na kutathmini ufanisi wa afua hii kulingana na muktadha wet…

Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.

  • Kutuhusu​
  • Wasiliana Nasi
  • Masharti ya Matumizi
  • Faragha