Main Logo
  • Login/Join
    • Language
  • Discussions
  • Courses
  • Library

Select A Language Preference

  • English
  • Kiswahili
  • Home
  • Library
  • Courses
  • Discussions
  • Language
  • Login/Join
All▾
  • All
  • Intervention Categories
    • All
    • Job Aid: Downloading an Intervention Guide
    • Health
    • Livelihoods
    • Spiritual Formation
    • Protection
    • Youth Development
    • Disaster Resilience
    • Survival and Early Childhood
  • Child Protection
  • Child and youth Curricula
  • FCP learning resources
Search
Categories
  • All
  • Intervention Categories
    • All
    • Job Aid: Downloading an Intervention Guide
    • Health
    • Livelihoods
    • Spiritual Formation
    • Protection
    • Youth Development
    • Disaster Resilience
    • Survival and Early Childhood
  • Child Protection
  • Child and youth Curricula
  • FCP learning resources

Fumbo la kondoo aliyepotea

Watch

Fumbo la kondoo aliyepotea

Download

Login Required

Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!

Choose Video Size

loading
Video • Swahili • 8.2 MB
Category Child and youth Curricula
Copyright Owner and Year max7.org, 2015
Target Groups 3-5 years, 6-8 years

Video hii inaonyesha fumbo la Yesu la kondoo aliyepotea, kama inavyoonekana katika Matayo 18:10-14 na Luka 15:1-7. Wakati kondoo mmoja anapotea kutoka katika kundi, mchungaji anawaacha kondoo wengine na kwenda kumuokoa kondoo aliyepotea. Video inagusia hisia za kupoteza kitu muhimu sana na hisia nzuri ya kukipata. Umepotea au umepatikana? Rasilimali hii ya video ina urefu wa dakika 2 na sekunde 9, na infaa kwa watu wa umri wote. Hakuna vipengele vya lugha, kwa hivyo inafaa kuambatana na usomaji wa sauti wa fumbo kutoka lugha yoyote au utafsiri wowote wa Biblia.

This document is part of: Video za kufundishia watoto

Discussion


Load all 0 comments, or add your own.

Related Documents


  • Video za kufundishia watoto

    Video za kufundishia watoto

    Series - 5 Resources
  • Mfano wa talanta

    Mfano wa talanta

    Mtu mmoja anawaachia wafanyakazi mali yake na kuwapa jukumu la kutumia mali yake ili wazalishe faida. Walifanya kitu gani? Kwa sababu video haina vip…
  • Mwana mpotevu sehemu 2

    Mwana mpotevu sehemu 2

    Video za Mwana Mpotevu, sehemu ya pili, mfululizo hai, inasimulia fumbo la 'Mwana Mpotevu' au (Mwana Mpotevu) kama inavyopatikana katika Luka 15:11-3…
  • Mwana mpotevu sehemu 1

    Mwana mpotevu sehemu 1

    Video za Mwana Mpotevu ziko 2 na zinasimulia mfano wa 'Mwana Mpotevu'  kama inavyopatikana katika Biblia Luka 15:11-32. Sehemu hii ya …
  • Safari ya  Vijidudu (Germs' Journey)

    Safari ya Vijidudu (Germs' Journey)

    Nyenzo hii inonyesha safari ya vijidudu kuingia kwenye mwili wa binadamu.
  • Germs'  Journey-Africa

    Germs' Journey-Africa

    This document shows a germs' journey.
  • Kwaheri vijidudu, kuwa shujaa wa kunawa mikono

    Kwaheri vijidudu, kuwa shujaa wa kunawa mikono

    Video inalenga kuwaonyesha watoto namna ya kuwa mashujaa wa kunawa mikono na kuagana kabisa na vijidudu.
  • Nyimbo za kuhamasisha unawaji mikono kwa watoto

    Nyimbo za kuhamasisha unawaji mikono kwa watoto

    Video hii pia inahamasisha watoto kunawa mikono kupitia nyimbo.
  • Video ya nyimbo za kunawa mikono

    Video ya nyimbo za kunawa mikono

    Video hii ina nyimbo za kuhamasisha unawaji mikono kwa watoto.
  • Video-namna ya kunawa mikono kwa bomba la miguu

    Video-namna ya kunawa mikono kwa bomba la miguu

    Video hii inaonyesha namna ya kunawa mikono kwa kutumia bomba la miguu.
  • About
  • Privacy Policy
  • Contact Us
  • Terms of Use

ForChildren.com is presented by Compassion International, a registered 501(c)3 non profit organization. All resources, courses, and discussions are intended for educational use only, not for profit.