Main Logo
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
  • Sisi ni akina nani?
  • Jukwaa la majadiliano
  • Jifunze
  • Maktaba

Teua Lugha Unayopenda

  • English
  • Kiswahili
  • Mwanzo
  • Maktaba
  • Jifunze
  • Jukwaa la majadiliano
  • Sisi ni akina nani?
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA  >  MAENDELEO YA KIROHO  >  Video- hadithi za kibiblia
Zote▾
  • Zote
  • RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
    • Zote
    • AFUA MBALIMBALI ZA MAENDELEO YA MTOTO NA KIJANA
      • Zote
      • Afua ya Afya ya Uzazi-Grow up Smart
      • Afua ya Kuzuia Kujiua-Suicide Prevention
    • MAENDELEO YA KIROHO
      • Zote
      • Mtaala wa Kiroho 9-11
      • Mtaala wa Kiroho 3-5
      • Video- hadithi za kibiblia
      • Mtaala wa Kiroho 6-8
    • MAENDELEO YA KIMWILI
      • Zote
      • Mtaa wa kimwili 9-11
      • Mtaa wa kimwili 3-5
      • Mtaa wa kimwili 6-8
    • MAENDELEO YA KIAKILI
      • Zote
      • Mtaala wa Kiakili 9 - 11
      • Mtaala wa Kiakili 3 - 5
      • Mtaala wa Kiakili 6 - 8
    • MAENDELEO YA KIJAMII
      • Zote
      • Mtaala wa kijamii 3-5
      • Mtaala wa kijamii 9-11
      • Mtaala wa kijamii 6-8
    • MAENDELEO YA VIJANA
      • Zote
      • Mtaala wa Vijana 19+
      • Mtaala wa Vijana 15-18
      • Mtaala wa Uongozi
      • Mtaala wa Vijana 12-14
      • Shughuli za ziada
      • Shughuli za Kuzalisha Kipato
      • Mtaala wa kiroho 12-19+
  • Ulinzi wa Mtoto
  • Falsafa ya Mtoto
  • Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa
    • Zote
    • Falsafa
  • Afua mbalimbali
    • Zote
    • Ulinzi
Search
5 star average - 5 Kura
Share on Twitter Share on Facebook Share on Pinterest Share by Email

Mfano wa Mpanzi

2015
Tazama

Mfano wa Mpanzi

Pakua

Uhajitaji Kuingia

Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!

Choose Video Size

loading
Video • Kiswahili • MB 12.5
Kategoria RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA > MAENDELEO YA KIROHO > Video- hadithi za kibiblia
Copyright Owner max7.org

Video hii hai inasimulia mfano wa mpanzi ambao Yesu alitoa, kama unavyoelezwa katika Mathayo 13:1-23, Marko 4:1-20 na Luka 8:1-15. Video inaonyesha mbegu 4 zilizosambazwa kwenye maeneo tofauti.  Rasilimali hii ya video hai ina urefu wa dakika 2 na sekunde 56, na inafaa kwa watoto na vijana, familia na mkusanyiko wa watu wa umri wowote. Hakuna vipengele vya lugha, kwa hivyo inafaa kuambatana na usomaji wa sauti kutoka lugha yoyote au utafsiri wowote wa Biblia.

Majadiliano


Pakia maoni yote ya 0, au ongeza yako.

Tuko kwa ajili ya watoto.

Mtandao wa ForChildren.com, unaotolewa na shirika la Compassion International, hutoa mawazo, fursa za kujifunza na uhusiano ili kuwasaidia watu wanaofanya kazi na watoto walio katika mazingira hatarishi. Sisi ni jamii ya  wafuasi wa Yesu duniani kote, jamii iliyojitolea kwa ajili ya ukuaji wa watoto kiujumla. Tunakukaribisha ujiunge nasi katika jamii hii yenye ushirikiano ili kushirikisha mawazo, uzoefu, mbinu na zana zinazowasaidia watoto kuimarika hata wakiwa katika changamoto.

Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.

  • Kutuhusu​
  • Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Masharti ya Matumizi
  • Faragha