Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue rasilimali. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | MAENDELEO YA KIJAMII > Mtaala wa kijamii 3-5 |
Mmiliki wa Rasilimali | Compassion International |
Mtaala huu ni kwa ajili ya watoto wa umri kati ya miaka 3-5 . Unahusisha masomo arobaini na tatu ,yanayosaidia kumjenga mtoto kijamii.Masomo mada zilizomo ni kama vile; Kujitambua ndani ya Kristo,Mimi ni nani ,Kuchambua hisia ,Ninafurahia jinsia yangu,Nina mpango salama ,nawasiliana na wengine kuhusu hisia zangu,kuwasiliana bila mgogoro,Kujenga msingi ya kujiamini na kadhalika …Kila mojawapo ya masomo haya arobaini na tatu yanahusisha mpangilio wa somo(Urefu, matayarisho na vifaa vya kutumia) Muda wa darasa unahusisha maelezo kwa kina jinsi ya kufunza,pamoja na michezo na shughuli zinazowashirikisha wanafunzi ili kusaidia kusoma na kuelewa pamoja na tathmini ya mwalimu.Masomo na shughuli za vitendoi zinadhamiriwa kutumiwa kwa makundi
Mtandao wa ForChildren.com, unaotolewa na shirika la Compassion International, hutoa mawazo, fursa za kujifunza na uhusiano ili kuwasaidia watu wanaofanya kazi na watoto walio katika mazingira hatarishi. Sisi ni jamii ya wafuasi wa Yesu duniani kote, jamii iliyojitolea kwa ajili ya ukuaji wa watoto kiujumla. Tunakukaribisha ujiunge nasi katika jamii hii yenye ushirikiano ili kushirikisha mawazo, uzoefu, mbinu na zana zinazowasaidia watoto kuimarika hata wakiwa katika changamoto.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.