Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA > MAENDELEO YA KIROHO > Video- hadithi za kibiblia |
Copyright Owner | max7.org |
Video za Mwana Mpotevu ziko 2 na zinasimulia mfano wa 'Mwana Mpotevu' kama inavyopatikana katika Biblia Luka 15:11-32. Sehemu hii ya 1 inafuatilia chaguo la huyo mwana mpotevu. Hadithi inasisitiza dhamiri za kuamini na kuwa mmoja wa watu. Kwa sababu video haina vipengele vya lugha, inafaa kuambatana na usomaji wa sauti wa fungu la Biblia katika lugha au utafsiri wowote. Rasilimali hii ya video ina urefu wa dakika 7 na sekunde 26, na infaa kwa watu wa umri wote.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.