Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA > MAENDELEO YA KIROHO > Video- hadithi za kibiblia |
Copyright Owner | max7.org |
Mtu mmoja anawaachia wafanyakazi mali yake na kuwapa jukumu la kutumia mali yake ili wazalishe faida. Walifanya kitu gani? Kwa sababu video haina vipengele vya lugha, inafaa kuambatana na usomaji wa sauti wa fumbo la talanta (Mathayo 25:14-30). Utafanya nini na vipawa ambavyo Mungu amekubariki navyo? Rasilimali hii ya video hai ina urefu wa dakika 4 na sekunde 45, na inafaa kwa watu wenye umri wa miaka 5 na kuendelea.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.