Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA > MAENDELEO YA KIROHO > Video- hadithi za kibiblia |
Copyright Owner | max7.org |
Video hii hai inasimulia mfano wa mpanzi ambao Yesu alitoa, kama unavyoelezwa katika Mathayo 13:1-23, Marko 4:1-20 na Luka 8:1-15. Video inaonyesha mbegu 4 zilizosambazwa kwenye maeneo tofauti. Rasilimali hii ya video hai ina urefu wa dakika 2 na sekunde 56, na inafaa kwa watoto na vijana, familia na mkusanyiko wa watu wa umri wowote. Hakuna vipengele vya lugha, kwa hivyo inafaa kuambatana na usomaji wa sauti kutoka lugha yoyote au utafsiri wowote wa Biblia.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.