Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!
Kategoria | Ulinzi wa Mtoto |
Copyright Owner | Therapist Aid LLC |
Also Available in | Kiingereza |
Chati hii inatoa kielelezo cha picha ya hisia tofauti. Lengo ni kusaidia watu ambao wana matatizo lakini hawawezi kuelezea hisia zao. Hivyo mwezeshaji anaweza kutumia picha hizo kuibua hisia.
Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.