Main Logo
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
  • Jukwaa la majadiliano
  • Jifunze
  • Maktaba

Teua Lugha Unayopenda

  • English
  • Kiswahili
  • Mwanzo
  • Maktaba
  • Jifunze
  • Jukwaa la majadiliano
  • Lugha
  • Ingia katika akaunti/Jiunge
Ulinzi wa Mtoto
Zote▾
  • Zote
  • RASLIMALI ZA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
    • Zote
    • MITAALA YA KUFUNDISHIA WATOTO NA VIJANA
    • Afua mbalimbali
      • Zote
      • Afya
      • Kiroho
  • Ulinzi wa Mtoto
  • Miongozo ya mafunzo kwa Kanisa
Search
0 star average - 0 Kura
Share on Twitter Share on Facebook Share on Pinterest Share by Email

Tamko la Ahadi ya Ulinzi wa Matoto

2020
Onesha upya

Onesha upya

  • Page 1
  • Page 2
  • Page 3
  • Page 4
  • Page 5
View Mobile Friendly Version Pakua

Uhajitaji Kuingia

Lazima uwe mmoja wa jamii ya ForChildren.com ili upakue nyenzo/raslimali zilizomo. Bofya vitufe vilivyo hapa chini ili uingie au ujisajili!

PDF • Kiswahili • KB 447.3
Lebo: Ulinzi wa Mtoto, Unyanyasaji wa Watoto, Utetezi wa Watoto
Kategoria Ulinzi wa Mtoto
Copyright Owner Compassion International

Tamko la Ahadi ya Ulinzi wa Mtoto linapinga aina zote za dhuluma na unyanyasaji wa watoto. Pia linaichochea Compassion kufanya kila iwezalo  kuhakikisha kuwa hakuna madhara yanayompata mtoto yeyote aliyesajiliwa katika programu kutokana na ushiriki wake kwenye huduma ya Compassion International. Kwa jinsi hiyo, waajiriwa wa Compassion, wafanyakazi wa makanisa yaliyo katika ushirikawenza na Compassion na wanaojitolea, wafanyakazi wa nchi rafiki (Global Partner) na mgeni yeyote atakayechangamana na mtoto katika programu za Compassion lazima atie saini hati ya kanuni za maadili zinazobainisha tabia inayokubalika na isiyokubalika ya watu wazima kwa watoto.

Majadiliano


Pakia maoni yote ya 0, au ongeza yako.

Hati Zinazohusiana


  • TZ RESOLVER MATERIALS

    TZ RESOLVER MATERIALS

    Compassion Tanzania inahamasisha kanisa mshirika mwenza kufanya Kampeni kwa washiriki ili kuongeza ufahamu kuhusu nmana ya kuripoti matukio ya unyana…
  • Dalili za Kiwewe

    Dalili za Kiwewe

    Waraka huu una orodha ya dalili maarufu ambazo watu huwa nazo baada ya kiwewe. Ni muhimu kuwasaidia watu waliokuwa na kiwewe kuelewa kuwa wanachohisi…
  • Chati ya Hisia

    Chati ya Hisia

    Chati hii inatoa kielelezo cha picha ya hisia tofauti. Lengo ni kusaidia watu ambao wana matatizo lakini hawawezi kuelezea hisia zao. Hivyo mwezeshaj…

Mtandao wa ForChildren.com unatolewa na shirika la Compassion International, shirika lisilo la faida lililosajiliwa 501(c)3. Nyenzo, kozi, na majadiliano yote yanakusudiwa kwa matumizi ya elimu peke yake, na sio kwa faida.

  • Kutuhusu​
  • Wasiliana Nasi
  • Masharti ya Matumizi
  • Faragha